Recent content by muzungu

  1. M

    Kilimo cha mboga mboga

    nashukuru mkuuu kaniambia nmcheki jumatatu nione atanipatia mwanga gani ili niweze kufanikisha hili zoezi mungu akubaliki
  2. M

    Kilimo cha mboga mboga

    nashukuru mkuuu nmempata lakin kaniambia ana deal na greenhouse
  3. M

    Kilimo cha mboga mboga

    mkuuu mbona huyo Mariam unayesema hakuna hizo taarifa
  4. M

    Kilimo cha mboga mboga

    Ndiyo nipo kwenye hatua za kufanya utafiti kuanzia kuandaa shamba hadi sokon. Mkuu nashukuru kwa kunipatia moyo hapa nahitaji utayar na kupambana ili niweze kufikia lengo.
  5. M

    Kilimo cha mboga mboga

    Ndugu wanajamvi, Natumaini wazima wa afya nategemea kulima mboga mboga Bagamoyo na kusambaza mjini Dar mwenye uzoefu wa kilimo hiki na changamoto. Naomba msaada aiseeh!
  6. M

    Kuku wangu wamedumaa, msaada wakuu

    nashukuru mkuuu wamefanikiwa kubadilika
  7. M

    Kuku wangu wamedumaa, msaada wakuu

    nashukuru mkuuu wamebadilika jumamosi watachukuliwa mungu akubaliki
  8. M

    Kuku wangu wamedumaa, msaada wakuu

    nashukuru mkuuu kwa ushauri nafikir ilikuwa hybrid mbaya lakin wanaendelea vizur kuna jamaaa atakuja kuwachukua kesho
  9. M

    Kuku wangu wamedumaa, msaada wakuu

    mkuu hakuna maendeleo bila mikopo dunia ya sasa
  10. M

    Kuku wangu wamedumaa, msaada wakuu

    Poleni na majukumu wakuu, Nafuga Kuku wa nyama, lakini hadi kufikia Leo wana wiki ya nne maendeleo yao sio mazuri, kwa kifupi wamedumaa! Nilikuwa nawapatia chakula cha CPF lakini hawakui kama mashamba mengine yanavyokuwa. Pia natumia vitastress kama vitamin. Msaada wakuu na mungu awabariki..
  11. M

    UDOM Police Brutality: Haki za binadamu, wanasheria na wanasiasa mko wapi?

    kweli we kinyesi unafikiria kwa kutumia mat***ko
  12. M

    MwanaCCM aonekana juu ya jukwaa la CHADEMA

    mkuu huyo mwana ccm alikuwa kweli jukwani lakin mkutano ulikuwa Wa kutoa shukurani kwa wananchi baada ya uchaguzi Wa serikali za mitaaa na huyo mwanaccm ni miongoni mwa wajumbe walio chaguliwa wengi ni kutoka ukawa
  13. M

    Barua ya wazi kwa wahitimu ambao bado wanatafuta ajira

    vijana wamekosa plan b wanapenda ufahari nafanya kazi posta kwa mwezi mia 4 ukitaka kuwa na maisha tofauti lazima ufikiri tofauti
  14. M

    Mashamba ya kukodi Ruvu

    mkuuu nisaidie na mie hizo number
  15. M

    Waziri wa kazi na ajira wahurumie vijana wa Tanzania

    WAZIRI KABAKA tunaomba hawangalie hawa EROLINK kutoka na taarifa yako kwa vyombo vya habari kuwa tarehe 28/2/2014 iwe mwisho kuendesha shughuli zao lakini bado wanaendelea kupiga kazi zao tena kwa jeuri kama hapa, customer care vodacom kuna HR wao anasema kama utaki kazi ondoka watakuja...
Back
Top Bottom