Recent content by muyumbu

  1. muyumbu

    Waajiri muwe na huruma jamani

    Poleni sana bro m/mungu atakusaidia inshaalah
  2. muyumbu

    Mzazi kuaanza kukutegemea wewe kwa kila kitu bila kujali mshahara wako mdogo

    Tusome vitabu vya dini kupata ufafanuzi wa mambo km haya yalikuwepo toka zamani sisi sio kwanza
  3. muyumbu

    Mzazi kuaanza kukutegemea wewe kwa kila kitu bila kujali mshahara wako mdogo

    Laiti kama ungejua faida za kuwahudumia wazazi usingesema ivyo kabisa bora wewe unafanya kazi, kuna watu wanahudumia wazazi bila hata yakua na kipato cha uhakika
  4. muyumbu

    Makato ya matumizi ya ATMs za Benk ya NBC ni makubwa mno

    Mimi ni mteja wa NBC na jana nilitoa pesa kupitia ATM zao za pale Shoppers Mikocheni jijini Dar. Nilitoa laki 4 mara 2 yani miamala miwili chakushangaza wamenikata elfu 3 kwa kila muamala jumla elfu 6 Hii kwenu ikoje wadau na nimewapigia customers care yao mara 2 sijapata majibu yalionyooka...
  5. muyumbu

    Watangazaji wa Clouds punguzeni kujiona mmefanikiwa sana, ninyi ni mafacilitator hamuwezi kuwa mnajua kila kitu

    Radio yangu frequency ni 88.5 clouds fm dsm na haijawai badilishwa toka natumia sub-offer hadi sasa kwenye home theater so kama wewe unaina mbaya radio ziko nyingi tz Sent using Jamii Forums mobile app
  6. muyumbu

    TANESCO yapandisha malipo ya umeme kwa watumiaji wadogo

    Huu uzi ni wa kupuuzwa sababu unapotosha uma na kuleta taharuki kwa taarifa zisizokua na chembe ya ukweli, Tanesco kuna aina kuu 2 za tariff ambazo ni tariff 1 & 4 tariff 1 ndio tariff ya kawaida ambayo matumizi yake yanaanzia units 76 kwenda juu na bei ya unit 1 ni shilingi 292 bila V.A.T, Na...
  7. muyumbu

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Naomba kujua list ya local channel kwenye kisimbuzi chenu
  8. muyumbu

    Natafuta iphone 4s used

    Habari, Kama unasimu hiyo iphone 4s na unaiuza mteja nipo. Piga 0713626027
  9. muyumbu

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Habari. Nauza samsung galaxy s3 ipo ktk hal nzuri kama kweli unaihitaji ni check kwenye no.071362027
  10. muyumbu

    Nahitaji tuition ya accounting

    Hapana sio online natafuta mtu ambae yupo hapa hapa DA
  11. muyumbu

    Nahitaji tuition ya accounting

    Habari wanajamvi. mimi ni mwanafunzi wa accountant pale T.I.A main campus naingia mwaka wa pili sasa ila hali yangu sio nzuri sana katika hilo somo ambalo ni co subject naomba connection ya mwalimu atakae nifundisha kuanzia what's z bookkeeping na kuendelea... Asanteni
  12. muyumbu

    Camera inauzwa bei maelewano piga 0713-626027 canon

    ndio inapiga pia ina lensi yake ndefu kama zile za waandisi wa Habari unaweza kuvuta ktu cha mbali zaidi
  13. muyumbu

    Camera inauzwa bei maelewano piga 0713-626027 canon

    Nimeshindwa kuweka picha ila kwa mwenye uhitaji anicheki, whatsap nimtumi picha-0713-626027
  14. muyumbu

    Huawei y530 iko sokoni

    Simu tajwa hapo juu iko sokoni nichek kwenye no 0713626027
  15. muyumbu

    Huawei y530 inauzwa bei chee 0713626027

    Y530 iko sokoni nicheq kwenye no.hiyo tufanye biashara kama unahitaji
Back
Top Bottom