Yesu ni moja ya nafsi tatu za uungu na hizi nafsi tatu zinafanya kazi kwa kushirikiana.Kwa mfano ktk uumbaji unaona nafsi zote tatu zikifanya kazi.Maandiko yanaanza na neno na "Tumfanye mtu kwa mfano wetu" Mwanzo 1:26. Soma kutoka 20 amri kumi za Mungu.Nafsi zote tatu huunda neno Mungu.Hizi...
Soma Biblia vizuri uielewe Yesu hakuvunja Sabato.Hata wasabato wa leo wanafanya yale ambayo Yesu aliagiza yafanyike siku ya Sabato.Pia kinachofanywa na Wasabato ni uinjilisti (Kuwahubiria watu) na kuwafundisha kama Yesu Kristo alivyo tuagiza, hawakashifu watu hata kidogo.Sema watu wengi ikija...
Nadhani utakuwa hujui maana ya Ukristo!Mungu hawezi kuanzisha Sabato halafu Yesu akaenda kinyume!Mungu wetu wa mbinguni yuko ktk nafsi tatu, Mungu Baba, Mwana(Yesu Kristo) na Roho Mtakatifu.Nafsi hizi zote zinafanya kazi kwa kushirikiana.Mpendwa nakushauri kasome maandiko vizuri uyaelewe.
Kuna madhehebu zaidi ya 560 yanaitunza Sabato ya BWANA kama ilivyoelekezwa na Mungu katika Biblia.Waadventista wa Sabato ni miongoni mwa madhehebu hayo.Mengine yako Israel pia.Fanya utafiti mpendwa.
Mpendwa unajichanganya mwenyewe.Hizo ulizozitaja pamoja na mengine ni huduma ambazo zinztzkiwa kufanywa na mfuasi wa Yesu yaani mwanafunzi wa Yesu.Hizo ni huduma ambazo hufanywa pia na Kanisa la kweli la Mungu.Biblia ni pana sana hebu soma mafungu mengi kwa kina na uelewe maana yake na Yesu...
Biblia imesema ilikuwa ni desturi yake pia kuingia katika sinagogi siku ya Sabato.Ukiwa na upendo utaitunza Sabato maana utaonyesha upendo kwa Mungu wako, Ukiwa na upendo hutazini, ukiwa na upendo hutatamani nyumb ya jirani yako wala chochote alicho nacho jirani yao, ukiwa na upendo na Mungu...
Nimesali madhehebu mengi ya Kikristo na nimejifunza yafuatayo;
1. Chochote kinachokutatiza katika maisha iulize biblia kwa kumuomba sana Roho wa Mungu utapata majibu.
2. Watu wengi watapotea kwa kung'ang'ania madhehebu walioingizwa na wazazi wao bila kujali waliingiaje?Kuna wengine waliingia...
Niliwahi kuambiwa na mwanamama mmoja kwamba mke akimpenda mtu ile kufika eneo la tukio anakuwa amejiandaa kisaikolojia kwa kiasi fulani hivyo inakuwa rahisi kumalizia mchezo.
Maandalizi yanakuwa kidogo tu chakula kinakuwa tayari kuliwa?
Je kuna ukweli katika kauli hii?
Kwa wanaume maandalizi...
Kwanza mabao mengi kwa mwanamke sio tija. Ukimuandaa mwanamke vizuri halafu ukachelewa kumaliza, bao moja mke anaweza kufika hata mara nne lakini inategemeana na aina ya mwanamke pia wengine ni wavivu.Mke uliye nae ni mvivu ki uhalisia hakufai watu kama hao ndio wanaosababisha baadhi ya wanaume...
Mimi binafsi kura yangu ni kwa DR. MAGUFULI na hakuna wa kunibadilisha kwa kuwa nina sababu nyingi sana kwa nini nampa kura yangu jamaa huyu.Baadhi ni hizi zifuatazo:
1. Ni muadilifu na mchapa kazi.
2. Naamini Magufuli atawawajibisha watendaji wa serikali wazembe.
3. Mabadiliko hayawezi kuletwa...
Unatakiwa kutusisitizia pia tupime sera za kila mgombea kabla ya kufanya maamuzi sahihi.Kama unadhani mabadiliko ni kubadilisha chama pole sana maana ushindani mkubwa mwaka huu ni baina ya CCM Original (DR. MAGUFULI) na CCM B (CHADEMA - LOWASA).Mgombea wa Chadema amekulia na kulelewa na CCM na...
Na ndio anakuja kuwa Raisi wako.Ni mtendaji ambaye hafanyi kazi kinafiki.Unataka awe kama chadema ambao wanataja mafisadi papa halafu wanageuka kumuombea kura, Watanzania sio wajinga kiasi hicho.Si bora hata Magufuli anasema atawashughulikia mafisadi.Chadema wao wameng'ang'ani mabadiliko maana...
Mimi binafsi kura yangu ya uraisi nampa DR. MAGUFULI. Ubunge na udiwani nilipanga kuwapa Chadema lakini kwa kauli ile ya Mbowe nitawapa ACT Wazalendo.Chadema hawatufai kabisa, badala ya kumwaga sera wao wanatuonyesha ubabe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.