Recent content by Muyobhyo

  1. Muyobhyo

    Wanawake wa klabu si wakuwaamini kabisa

    https://datebest.net - visit website and win smartphone!
  2. Muyobhyo

    "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    unataka teuzi kaka, na hupati unahisi msukuma mwenzako atakupa, kama chadema imewateua kwanini waogope kuitwa, Kilangi anasema wako kihalali akimaanisha chadema wenyewe ndio waliteuliwa, akina halima wangeenda ila kwa taarifa yako hao TISS ndio waliowazuia na kuwalinda, wacha tuone hatima yake...
  3. Muyobhyo

    GE2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

    jimbo litaenda upinzani hilo, wao waweke watu wanaowajua wao, wajumbe wamevumiliwa sasa na nyie tena, duu
  4. Muyobhyo

    Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia, tangu mwaka 2015 amelitaja jina la Magufuli mara 10,000. Ugonjwa unaongezeka anapoona maendeleo ya kasi

    Ndugu yangu, ushawasikia jamaa wa mboga mboga yani wanalitaja hilo jina zaidi neno Mungu, akiongea sentensi hajamaliza lazima hilo jina alitaje usimsakame lissu,
  5. Muyobhyo

    Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

    kama mshajihakikishia kurudi, mnachokitafuta mtakipata, endeleeni hivyo hivyo kutupambaza, ni mtutu tu ndio utakaowarudisha bungeni na sio ballots
  6. Muyobhyo

    DC akabidhi hundi ya Mil. 626 kwa vikundi 100 Arusha, ampigia Debe Rais Magufuli

    hawajui wachaga hawa, kula kwa huyu na kura kwa yule
  7. Muyobhyo

    GE2020 Embu mtujibu kwa mfano wewe ndio Mbowe kwenye kampeni utasimama uwaambie nini watu? Ili wakuchague Tena

    kwa hiyo mnataka sera za chadema ziwe sawa na mboga mboga, mboga mboga wana zao na chadema wana zao, act wana zao, haziwezi lingana hata siku 1, kwa hiyo mnataka mlazimishe na chadema watoe fomu 1 tu ya uraisi ili wengine wasichukue,
  8. Muyobhyo

    Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

    mie ndugu zangu ambao ni polisi nilishafuta wote kwenye simu na sitaki kabisa mawasiliano nao, nimetokea kuwachukia wao mpaka ndugu zangu ambao ni polisi, na wakipiga simu nikajua ni yeye kwa namba nyingine namwambia nitampigia baadae na sipigi
  9. Muyobhyo

    Kama Mbowe ameongezewa muhula, Magufuli tutamuongezea zaidi

    kwani mbowe ni raisi wa nchi, mwenyekiti wenu na nyie mpitisheni miaka 100 hatuna wasiwasi sio uraisi, inaonekana mbowe kupita mumenuna, mipango yenu ya kujipenyeza imefeli
  10. Muyobhyo

    Kama Mbowe ameongezewa muhula, Magufuli tutamuongezea zaidi

    sio raisi, kama mwenyekiti wa chama, hamna neno mpeni miaka 100
Back
Top Bottom