Recent content by muyingamwamwasi

  1. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Natafuta baiskeli ya kununua kwa bajeti ya 50,000/=

    Utapata iliyochakaa Sana kwa bei hyo
  2. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Natafuta baiskeli ya kununua kwa bajeti ya 50,000/=

    Baiskeli Aina gani
  3. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemkuta na SMS za kimapenzi za mwanaune mwingine

    Hapo mchunguze vzr Kama wamewahi kudate bora achana naye brother
  4. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mabadiliko ya mitaala Mara kwa Mara ya elimu Tanzania elimu itaongezeka kweli?

    Kwanini elimu ya Tanzania mitaala hubadilishwa Mara kwa Mara?
  5. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wastani gharama za ufundi wa nyumba ya vyumba 4

    Inategemea na mazingira bei zinatofautiana
  6. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    Kifo ni kifo tu kumfunga jela mtu sikanakwamba marehemu atafufuka
  7. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tulia Akson akatulie jimbo jipya Mbagala, Mbeya anapoteza muda

    Kugombea uongozi inahitaji siasa zilizokomaa
  8. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tulia Akson akatulie jimbo jipya Mbagala, Mbeya anapoteza muda

    Jaman mwacheni agombee kura zitatoa maamuxi tu
  9. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania MSAADA KWA ANAYEWEZA KUFAFANUA HILI LA UAZIMAJI WA WACHEZAJI

    Timu inaruhusiwa kuazima mchezaji na kuazimisha mchezaji bila choyo yeyote baada ya mashindano atarejea kwenye clabu yake
  10. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanamke hawezi kabisa kusahau mwanaume aliyemtoa bikra?

    Lkn kuna baadhi wapo japo kwa shida sana
  11. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanamke hawezi kabisa kusahau mwanaume aliyemtoa bikra?

    Jamani yupi aliyebahatika kupata msichana bikra katka mahusiano yake
  12. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanamke hawezi kabisa kusahau mwanaume aliyemtoa bikra?

    Huo ni ukweli usiopingika ndugu zangu, wanawake wenyewe wanaushahidi tosha
  13. muyingamwamwasi

    JamiiForums Tanzania Manara:Siku ya Jumanne nitaongea mambo mazito,,Yanga hawatatumia mitandao ya kijamii

    Acha ubabe wa Maneno kaka, busara zitumike ili heshima ipatikane
Back
Top Bottom