Recent content by muyango09

  1. muyango09

    JamiiForums Tanzania Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

    [emoji848][emoji848][emoji848]
  2. muyango09

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Lete mavitu tuenjoy
  3. muyango09

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechakata mke wa mtu, sasa ana mimba mimi nipo natanga tanga kama digi digi

    Kula uliwe
  4. muyango09

    JamiiForums Tanzania Kila shetani na mbuyu wake, kila mzimu na pombe yake

    Kwahyo mkuu awa mizimu hatuwezi kuwaptezea
  5. muyango09

    JamiiForums Tanzania Kila shetani na mbuyu wake, kila mzimu na pombe yake

    Kweli mkuu?
  6. muyango09

    JamiiForums Tanzania Kila shetani na mbuyu wake, kila mzimu na pombe yake

    Hakika mkuu
  7. muyango09

    JamiiForums Tanzania Kila shetani na mbuyu wake, kila mzimu na pombe yake

    Bola nikomae na gongo huu mzimu utaniua walai
  8. muyango09

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwakweli mmetutesa sana TANESCO Kagera wiliya Muleba kata IKONDO leo siku ya pili tunalala gizani na shughuli za kiuchumi zinakwama kukaa gizani cijui ndo mmeona kunatufaa hata sikukuu hatjaifaidi yani Kama tupo kisiwani miaka 61 ya uhuru umeme Bado ni tatizo ni aibu kubwa sana tuhurumieni...
  9. muyango09

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mpaka Sasa huduma haijalejea wakuu tanesco kagera MULEBA hawako siriazi maana njaa zinaua kwani watu tunaishi kwa kutegemea umeme lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea wao wakiwa na mwanga hawawafikirii wengine tusaidieni makao makuu japo tupate hata kujikimu tunakufa njaa kisa umeme TANESCO...
  10. muyango09

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tutashukuru maana tumelala gizani TANESCO na kazi zinakwama
  11. muyango09

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mbona kwenye ujumbe wangu nmeonesha Kila kitu Mkoa. KAGERA Wilaya. MULEBA Eneo. Kata IKONDO vijiji vya Kamishango.Bumpande na IKONDO. Tatizo. Huduma ya umeme imekatika toka leo asubuhi mpaka mda huu na hatuoni mafundi wenu wakifanya jitihada za kutatua Hilo tatizo Mawasiliano. 0757504873 TANESCO
  12. muyango09

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tatizo la umeme kukatika katika kata ya IKONDO wilaya MULEBA mkoa KAGERA ni changamoto maana linakwamisha shughuli za maendeleo watu tunashindwa kuzalisha kisa umeme. Leo toka mchana mpaka usiku huu hatuna umeme wakati maeneo ya jirani yana umeme na ukizingatia hizi ni nyakati za sikukuu...
  13. muyango09

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco muleba kagera mnazingua saa 24 hmna umeme tunalala giza kazi zinakwama jitafakalini wakuuu
  14. muyango09

    JamiiForums Tanzania Simulizi -Kitabu kilichojaa majina yote

    Inasisimua kiukweli
Back
Top Bottom