Wadau naombeni mwenye uelewa anisaidie
Mimi nimeomba vacancy ila kwa bahati mbaya au nzuri taasisi miliyoomba hawakupitisha ilipofika mda wa siku kadhaa mfumo wenyewe uka accept na kuniruhusu niendelee na transfer request na sasa ombi langu lipo utumishi .
Najiuliza je nitafanikiwa kuhama ikiwa...
Jamani na namimi ninaomba ushauri
Mimi ni mwalimu nilituma vaccancy request katika regional secretaret ya mkoa x .
Halmashauri ya walinipitishia ikaenda ninakoomba kuhamia ikakaa siku 10 mfumo ukawa ume accept wenyewe na kuniruhusu nianzishe normal transfer.Nikaanzisha na sasa inasoma...
Asante kwa ujumbe mzuri mm nimkulima mdogo natamani nilime ekari moja ya tikitimaji kipindi cha vuli kuanzia mwezi wa 11 mwaka huu eneo lipo mto ruvu bagamoyo
Naomba kujua kama nitakuwa sahihi kwa msimu,
Naomba kujua mbegu Bora
Na changamoto zingine
Tatizo katika nchi yetu watu wengi wanachukia walimu sijui kwasababu wapo wengi Kila sehemu?
Mwandishi umesema vema sana walimu wanaharibu ujasiri wa watoto kwa viboko ,vipi kuhusu jamii na wazazi?
Labda nikupe Siri ambayo huijui wazazi na jamii ndio chanzo kikuu Cha viboko kwa watoto mashuleni...
Nimefurahishwa kwa aina utanganzaji ulio fanya ,mm mwenyewe Nina gunia 100 Nipo HANDENI Tanga ,kwaambao wanachukua yote ninaweza kuwalea kwa kg sh 100
Mawasiliano 0620747396
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.