Recent content by Muxt

  1. Muxt

    JamiiForums Tanzania Nactvect haifunguki

    Naomba Naomba ufafanuzi zaidi Maan niliskia maombi yote yatumwe kupitia mfumo wa CAS sasa hiyo ya kujafa form ipoje ipoje
  2. Muxt

    JamiiForums Tanzania Nactvect haifunguki

    Wakuu kwema Naomba kuuliza ivi hii page ya nactvect ni kwangu tu au Maan leo siku ya tatu haifunguki nataka kufanya application za vyuo
  3. Muxt

    JamiiForums Tanzania Mishahara ICAP ni kiasi gani kwa nafasi ya ART Nurse?

    Laki 6 na point kadhaa hiyo ndio take home
  4. Muxt

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Angalizo: Utapeli na wizi kwenye maduka ya Pharmacy/ biashara ya dawa za binadamu

    Ni kweli last two week nilikuwa zahanati X Kuna kazi nilienda kufanya wakati naongea na nurse wa pale akapigiwa simu kwamba Kuna msiba hivyo wanataka dawa ya sindano ya kumuhifadhi marehemu akawaambia pale dispensary hamna lakin atawaulizia kwenye kituo Cha afya Cha jirani, aliambia dawa IPO...
  5. Muxt

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Nitakuambia kitu nachojua kuhusu BOT Kuanzia mwaka jana mwezi wa 8 walikuwa na uhaba mkubwa wa fedha zote za ndani na zakigeni hivyo walikuwa wagum kuprocess issue yyte ya Hela nakumbuka tulidai Hela BOT kuanzia mwezi wa 9 tukaja kulipwa mwezi wa 1 2024 kwhy ukiskia Hela zimepitia BOT ujue...
  6. Muxt

    JamiiForums Tanzania Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

    😂😂😂 Aseee pole sana mm mwnyew hii nishwah pigwa Hela lakin niliweka ambacho nawez kulose nilipohwa 45k sure odd ni hatar🤣🤣🤣😅😅 tangu pale nikaleft na group
  7. Muxt

    JamiiForums Tanzania Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

    de Asee hii situation ilinikuta soon after kumaliza chuo, nilikuwa nimetoka kufanya operation ya hernia alafu nikafikia gheto mjomba aliniacha akaenda dar baada ya mamb yake kuwa magum, nakumbuka ilikuwa napopata chakula sili kwa raha nawaza kesho ntakula Nini?, washikj wa mtaani wananipa...
  8. Muxt

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao

    Nashangaa wanaojua hawajitokez ili tupate elimu hii
  9. Muxt

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao

    Ndiyo inaitwa chainsaw kak
  10. Muxt

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao

    Wakuu kwema!! Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza. Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa Vitu muhimu navyotaka kujua 1. Bei ya chainsaw 2. Bei za miti 3. Bei za wachananji/fundi 4.Bei za mbao...
  11. Muxt

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    UDOM napo utake kujiua hatar Sana baada wawaze ukame unaowakabiri pale nusu jangwa😂😂😂
  12. Muxt

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Ex Anakusumbua? Jifunze Jinsi ya Kumwacha Aende!

    Yaaa mkuu kumbe umenielewa vizur sana
  13. Muxt

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Alinivumilia wakati sina kazi lakini tukaacha nilipokaribia kupata kazi, nimepata mwingine sasa haachi kunisumbua turudiane

    Kwakwel aliniacha wakat Bado namuelewa
Back
Top Bottom