Recent content by muwelewele

  1. M

    Dodoma kama jiji, barabara zake wekeni lami

    Huna akili na huna unachojua. Endelea na unachoweza siyo kwenye masuala kama haya.
  2. M

    Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Ulitaka wajenge Mkoani kwenu? Zcha wivu wa kike wewe!
  3. M

    Mzee John Malecela atua Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki msiba wa Mwanaye

    Amepoteza watoto watano (5): William John Malecela, Dkt. Mwelecele John Malecela, Ipyana John Malecela, Senyagwa John Malecela na Dkt. Irene John Malecela.
  4. M

    Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa

    Abdu Jumbe Mwinyi hakujiuzulu badi aliaondolewa kwa shinikizo
  5. M

    Mbunge Shabiby: Hata wewe Spika ukileta siasa zako tunaweza kukuazimia

    Kiongozi ulisoma kabla ya kutuma hiki ulichoandika? Gairo na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa...??? Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
  6. M

    Kumbe Rais ndiye huidhinisha malipo ya Serikali

    Fedha na rasilimali nyingine zipo chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hiyo yeye ndiye mtia saini wa mwisho wa bajeti. Na ikumbukwe kwamba bajeti kutoka Wizara zote hupelekwa bungeni baada ya kuwasilishwa kwa Rais kwanza kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, na ndiyo maana bajeti...
  7. M

    Rais Samia amuapisha Dkt. Charles Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI

    Anayeshughulikia Afya, amechukua nafasi ya Dkt. Grace Maghembe aliyehamishiwa Wizara ya Afya. Anakwenda kufanya kazi na Dkt. Ntuli Kapologwe, Mkurugenzi wa Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe, nguli wa Sekta ya Afya nchini. Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
  8. M

    Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    Kumuelewa Lissu inahitaji uwezo mkubwa wa kufikiri Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
  9. M

    Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

    Mnayapita Majiji gani? Labda Holili na Kilema. Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
  10. M

    Ukuta huu uliopo Kikuyu Dodoma ni wa taasisi gani?

    Acha mawazo ya kibaguzi Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
  11. M

    Kilimo cha Choya (Rosella)

    Nipigie nikupe ufafanuzi japo zao hili halihitaji mambo mengi sana. Mimi ni mwenyeji wa Dodoma na nimelima sana hili zao 0678504178/0625629695 Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
  12. M

    Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

    Hapo kiongozi hujajibu hoja ya kiwango cha uzalianaji ambacho 5.6% na pia watu wanaohamia kutoka Mikoa mingine Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
  13. M

    Jinsi ya kutengeneza pesa mpya kipindi soko la Cryptocurrency linapokuwa chini

    Hivi hii biashara ni ya kweli? Na kama ni ya kweli ninaomba kupatiwa elimu tafadhali. Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom