Umenifurahisha na mada yako kwel nimefurah.nitafuata nyazo zako tangulia nipo nyuma yako.hakuna kitu nachokipenda kama kujiajil.mungu anitangulie kwa hilo.mi naamin kuajiliwa ni utumwa
Lakin si ameshapangiwa?kilango ni mchapa kazi mzuri tu japo kipind mile alitereza bahati mbaya.na had raid kumwambia atapangiwa kaz nyingine ni dhahil kuwa ni mchapakazi
Kila laher mungu akutangulie ktk hilo. Kwel umenifurahisha mno riz. Tunataka mambo kama hayo.kwamtindo kama huo hata sisi upinzan tunakuunga mkono na tupo nyuma yako.rais atafurahije?
Lakini mi ningeona kama serikal ipo fair ingejitetea kwa kumuonesha zitto hizo tank zake ili kuudhihirisha umma.kuliko kutaka kumtafutia makosa.kama njaa Ipo ipo tu.au mnasubiri mshuhudie maziko yatokanayo na njaa.ila mmm nimeamin baadh ya viongoz wetu no zaid ya wanyama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.