Recent content by muwanjiKT

  1. muwanjiKT

    Rais Samia: Februari na Machi, 2024, Mgao wa umeme utaisha Nchini

    Kuwa na raisi mwanamke ni hasara kulanina
  2. muwanjiKT

    Rais Samia: Februari na Machi, 2024, Mgao wa umeme utaisha Nchini

    CCM wote Mimi ni mume wenu tuleteeni umeme pumbavu zenu
  3. muwanjiKT

    Jinsi ya kuishi na majirani wenye maisha ya chini/ Duni

    Hata Mimi ningekuzibia njia Mkuu tafuta viwanja vilivyopimwa acha uswahili unapenda uswahilini kubaliana na mambo ya kiswazi
  4. muwanjiKT

    Natafuta mke nipo Mbeya

    Ndio mkuu nyumba yangu bado sijaweka tiles na singbord kwangu hii ni kama pagale haijakamilika kuwa na vigezo vya kuitwa nyumba japo wabongo wengi wanaishi kwenye mapagale ila wanaziita nyumba
  5. muwanjiKT

    Natafuta mke nipo Mbeya

    Siitaji pisi Kali nataka make mwema
  6. muwanjiKT

    Natafuta mke nipo Mbeya

    Nahitaji mke nimuoe asizidi miaka 27 na akubali kucheck afya. Mimi sasa Umri wangu: 27 Kazi : Nimejiajiri Elimu: degree Mkoa: Mbeya Nyumba: Ninayo sijapanga ila ni pagale haijakamilika. Urefu: futi 5.5 Uzito: 60kg
  7. muwanjiKT

    Tuzo Ndg. Yeriko Nyerere itupe funzo kuthamini 'big brains' wa ndani ya nchi

    Yeriko nyerere sio kijana ila ni mzee wa makamo
  8. muwanjiKT

    Tanzania hakuna chama cha upinzani, tuna wapiga kelele na wakosoaji

    Tanzania hakuna upinzani ila tuna walamba asali lipo wazi chadema , CUF na ACT wazalendo wote hawa ni CCM B ila Mjomba MAGU alivyoingia mjengoni hakuwa mnafiki aliwaminya wote. Lakini uchaguzi 2025 huyu mama tapeli atawaonea huruma viongozi wote wakubwa wa upinzani wapate UBUNGE ili watulie...
  9. muwanjiKT

    Msaada: Buibui ni wengi kwenye pagale langu

    Nataka kuhamia hivyo hivyo mkuu
  10. muwanjiKT

    Msaada: Buibui ni wengi kwenye pagale langu

    Fafanua please mkuu unaniogopesha
  11. muwanjiKT

    Msaada: Buibui ni wengi kwenye pagale langu

    Msaada tafadhali dawa gani ya kuua hawa viumbe
  12. muwanjiKT

    Wewe unayesoma hapa acha wizi, toa zaka!

    Hivi kuna watu bado wanaenda kutapeliwa huko kanisani du bado tuna safari ndefu. CCM na DINI lao moja mtaji wao mkubwa ni wajinga na mabwege
Back
Top Bottom