ukiropoka weka akiba ya maneno unaweza ukakuta babako unamuita dada kwakuwa anapenda wimbo wa mfalme KIBA maana mpaka jana utafiti unaonyesha ni zaidi ya asilimia 90% ya wanaume wa Kitanzania wenye akili timamu waliousikiliza huu wimbo wa Ally wanaupenda huku wimbo wa MAWIGI JAZZ BAND ukionekana...
Nikiwa kama miongoni mwa watu wanaofuatilia mziki wa kizazi kipya nimeona itakuwa sio mzuka kutotia tia neno katika wimbo ambao ni homa ya majiji makubwa yote duniani wanaojua mziki mzuri..kwa tafiti yangu ya siku chache nimegundua wimbo huu wa Ally una maajabu kumi kama ifuatavyo:-
1.Kautoa...
Abby skills hajawahi kuwa msanii mkali ila ana bahati ya kupigiwa chorus za hatari na siku zote kiba na byser ndo wanambebaga hata ujio huu nahisi ni ushawishi wao. .ila trust me hii ngoma itabamba kwani kuna ladha watu waliimiss kutoka kwake
Le mutuz utozi anaupenda ila jiografia ya mwili wake ndo unamuangusha. ..yale mashati yake kama anafua mwenyewe atakuwa anapata sana tabu kuyaanika maana mzigo mpana mithili ya pazia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.