Recent content by Muuza madafu wa Ikulu

  1. Muuza madafu wa Ikulu

    Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

    Tajiri mashuka upo? Ile namba yako haipatikani nilikuwa nataka nikuungishe mashuka 2 na foronya 4 mkuu.
  2. Muuza madafu wa Ikulu

    Hakika msioe, ndoa imeangamiza ndoto na ndoa ni Janga

    Kwahiyo Mwaka huu hutakata mauno tena Mbeya Pazuri ili upewe bia kama ulivyofanya Mwaka jana na mwaka juzi?😂😂
  3. Muuza madafu wa Ikulu

    Hakika msioe, ndoa imeangamiza ndoto na ndoa ni Janga

    Mungu akusaidie we maskini mtumishi wa Halmashauri unayevaa mashati ya kitenge na mada zako za kipuuzi. 😂😂😂
  4. Muuza madafu wa Ikulu

    Bora kuwa single!

    Jamaa kafukua kaburi.
  5. Muuza madafu wa Ikulu

    Bora kuwa single!

    Hahahaaa keshaingia kipindi cha pili sasa ambacho wenye nacho na wasio nachonwote ni sawa. BP, Kisukari n.k ndio vinamsogolea sasa. Apambane.
  6. Muuza madafu wa Ikulu

    Iran: Tunasubiri majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia mlango wa bahari wa Hormuz

    Msemaji wa Iran ulipotelea wapi? Tulijua ulikufa pamoja na Ayatoulah kumbe upp hai. Karibu ulingoni umsaidie mwenzako Khaibar maana amejitahidi kupambana peke yake kwa muda mrefu akisaidiwa kwa mbali na gallow bird
  7. Muuza madafu wa Ikulu

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Goli la Mwalimu limekubaliwa. Sasa Masandawane mmepata ushindi wa Kwanza katika Mechi 7.
  8. Muuza madafu wa Ikulu

    Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

    Kwani yeye ni nani? Kwisha habari yake. Allah ameshindwa kumlinda mja wake 😂😂😂
  9. Muuza madafu wa Ikulu

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Limepita hapa Tukuyu linaenda Kizimkazi kwa mzee mmoja mvuvi wa kasa.
  10. Muuza madafu wa Ikulu

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Huyo anaripoti moja kwa moja toka Tehran mwasibu.
Back
Top Bottom