Recent content by Muuru mmoja

  1. M

    JamiiForums Tanzania ATCL ina nafasi nzuri kushinda soko la abiria wa ndani

    Nani hana?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    Hata bible inamtaka mwanamke kujisitiri maana ni heshimankwa mumewe. 1Wakorintho 11:1- hivi vitabu vimeweka mambo sawa tu sema dada zetu makobe. Napenda sana mambo ya hijab pia kwakweli
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kagera, Mwanza, Geita, Kigoma na Singida zaongoza umasikini wa kipato

    With ur point nakuelewa sana mkuu. Kumbuka baadhi ya hii mikoa ulotaja ni foodbasket ya taifa for so long. Hao wa Arusha na Knjaro watahamia huko lakini kwao hapatadidimia. Nitakubaliana nawe kwenye point ya closing the gap tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kagera, Mwanza, Geita, Kigoma na Singida zaongoza umasikini wa kipato

    Sawa mkuu.. Lakini huoni hao wa Knjaro watakaoweza huko ndo watarudisha tena kipato kwao?! Mana mpaka sasa bado wamesambaa nchi nzima n theyre making money
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

    Polisi hawadeal na aviation cases. Nakwenda TAA mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

    well said mkuu. Tupende vya kwetu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

    Yani hili neno "mkono" litatuua mana kila kitu utasikia kuna "mkono" wa........
  8. M

    JamiiForums Tanzania FastJet wanaelekea ukingoni?

    Yah...hata mm jomeliona mkuu hawatui ARK...Wao ni KIA tu. Arusha ni Precision
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

    Mimi niliacha kupanda precision na ATCL kwa zile cancellation zao japo Precision wamestabilize sana kwa sasa. Kilichonipeleka FN ni nauli tu. Pamoja na zile cancellations za Precision sikuwahi kupata dhahama kama hii ya FN
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

    Sijaelewa huu msemo mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

    Nimesoma mkuu. Ila hapo suala ni wao kuhandle case maana me nimeshatimiza requirements
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

    Fastjet Shikamoo! Kwa kweli Tanzania hii inahitaji mabadiliko makubwa sana kwenye sekta ya usafiri wa anga. Nadhani Fastjet bila kutazamwa na serikali wamejiwekea uzio wa kutokamatika kisheria. Jana usiku saa 3:15 tumeruka kutoka JNIA kuelekea KIA na tulipokaribia kutua control tower wakaripoti...
Back
Top Bottom