Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu ya kila uchao. Kama mnavyofahamu ajira ni ngumu kipindi hiki, sasa basi katika kuhangaika nimepata katwisheni ka kufundisha kidato cha tano na sita, chemistry na physics, changamoto inayonikabili ikawa notes, sina kabisa notes wala materials ya A-level...