Mkoa wa Pwani upo nyuma sanaa ktk upande wa barabara makao yao makuu Kibaha hawana hata barabara ya km2 ya lami ni vumbi na barabara zenye mashimo mwanzo mwisho, mi nashaur Kibaha ingerudishwa dar maana Pwani hamna jipya, hakuna sehem unaweza kumpeleka mtu na kumuonyesha kuwa hapa ndo mjini hata...
Toka juzi usiku umeme kwangu umekatika na inaonekana tatizo lipo kwenye nguzo au waya za kuja kwenye Luku nipo Morogoro ,Changalawe jirani na Mzumbe University na nimeripoti juzi usiku nikapewa namba 0389 mpaka leo siku ya pili imeisha Tanesco hamjaja kila nikiulizia naambiwa wanakuja sasa sijui...
Alichokisema ni kuwa bango litarudishwa maana taratibu zote zilifuatwa ,pia kasema mazwazwa wenu wanachanganya sheria ya kutoa jina kwa mitaa na barabara ziko tofauti yeye ndo mwenye idhini ya mwisho ya kutoa majina ya mitaa na akasema kulikuwa na jina la mtaa wa Samata ila hakuonekana siku hiyo...
Azam 2 ndo hawana upande wowote wajanja wengi tushaachana na ITV wao walionyesha kiundani zaid habar ile hadi wakamhoji live mwandish wao wa Arusha.....big up Azam 2 nyie ndo TV bora 2016 endeleeni kuwakimbiza ....
Hapo juu ni sehem ya kiwanda kwa mbali, Wakuu hawa jamaa wameweza kuwashawishi watawala ili barabara ya kutoka Mafinga - Mgololo isije kuwekwa lami ili asije kukanyaga huku mkubwa yeyote, na hizo asilimia za umiliki ambazo hujaziweka ni za Wakubwa wawili waliomtangulia......... na pia...
Aitel nawashangaa sana eti Kibaha makao makuu ya mkoa hakuna 3G mnachekesha kweli hamko seriously ngoja voda wazid kuwafunika hamjitambui, na hata makao makuu ya wilaya hawana 3G mfano Mafinga, Iringa. Amkeni mtabakia na wateja wa vijijini tu!!!
Ngoja nijiandae kununua solar maana wanaturudisha enzi za Mwalimu ni shidaaaaaaaa!!! Wakati nchi ndogo za jirani wanauza umeme nje ya nchi, Duuuuhhh!!!
Hata mimi nimewashangaa sanaaaaa, jamaa wana dharau sana, tigo kila siku wanatoa 200 MB za bure sijui wenyewe hawapati faida hao voda?? Kila siku inakubidi ununue kifurushi cha bila kikomo cha buku, niko njian kuhamia tigo , too shamee!!!
Jf kwishinei naona coment za watu mnafuta tu kama ya Ben mumeitupilia mbali naona kumbe Mawio walikuwa sahihi naomba Chadema waanzishe uzi wao wa maana nyie mnaenda kufa kama Michuzi na Vijambo hata 2015 hamfiki kuleni hera za mwishomwisho tu mnaelekea kupotea kama wenzenu walionunuliwa kwa...
Alisema ataushangaza watu kwa kutaja majina leo anasema hawexi kutaja majina kuwa yeye sio mpelelezi,aache kuchanganya akili za watu aendelee na ufisadi,kanunua gorofa kigoma mjini ambapo nmb walikuwa wamepanga na amewahamisha eti anataka kuweka hoteli hera hizo za kununua ghorofa na kuhamisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.