Ukiangalia English alipata F, Civics is all about english, kwa hiyo ilikuwa lazima apate mzinga wa Civics, pia utakuta na degree zake ka soma kwa correspondece.
Inawezekana vipi slip of Tongue katika sensitive issue ya Utaifa? binafsi hiyo speech sijaisikia lakini siwezi kukubalia na hiyo slip of tongue argument, kwa ,mtu kama yeye anyetoka chama kinacho amini katika, Muungano hiwezekani ukakosea katika hilo! atoe sababu nyingine! this has shown how...
Wanajanvi mtakumbuka wakati wa kampeni za mwaka 2010 na baada bwana wakati akikihutubia taifa alitangaza kuwepo kwa udini. Ijapokuwa hakuta ni akina nani wanaeneza udini, lakini wapambe wake alisema na kutamka wazi wazi kwamba CDM walikuwa na siasa za udini!
Lililojitokeza Zanzibar, ambapo...
Leo kuna Mkutano wa CHADEMA na wala hakuna kiingilio, pia mkutano unaanza saa nane, baada ya watu kutafuta riziki, hivyo ndugu yetu Mr. emmy kama ulifikiria kuona foleni ya watu asubuhi asubuhi yote wakielekea jangwani umenoa, wewe kama unataka kuona M4C njoo pale saa tisa, utameza maneno yako...
Ndugu wanajanvi, kunataarifa za uhakika kwamba leo Mkuu wa kaya atatangaza baraza jipya la mawaziri, lakini napata taabu sana kughamua jipya litakalo fanywa na hao wateule, maana, 1. kikwazo kikubwa ni mfumo wa utawala uliopo, hakika hautawapa wateule nafasi za kuonyesha umahiri wao. 2. Makundi...
Huyu sasa amekuwa kama El Safu aliyekuwa waziri wa habari wa Irak, anasema tumewaua askari wa Marekani, kumbe jamaa wameshateka nchi! Eti wamepoteza mvuto wakati chama kinabakia na Viongozi tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.