Msigwa aliwadanganya CCM kuwa nikihama Mimi na vijana WOTE wa CHADEMA watanifuata, Sasa holaaah hapo ndipo CCM inapopata hasira...!
NI virungu na KUTEKWA TU kufidia hela alizokula Msigwa.
Si mnasemaga wakimbiaji wazuri wanatoka Arusha na Manyara? Sisi HUKU mbeya tunaendelea KULA maparachichi huku tunacheka kwa chini chini yaani Hadi kurusha tufe mlitutenga kamati ya Olimpiki mmevuna ubaguzi wenu.
VIONGOZI WALIKUWA wengi KULIKO wachezaji kkkkkkkk!
Dr. Reginald Mengi starring aliyefia kwenye maua.
Dah mwamba ulituangusha Sana Kama vile Adam na Hawa au Delila na Samson BILA kumsahau mke wa Ayubu.
R.I.P mzee wa kimachame.
Kwa hiyo Pasco unamaanisha TANGANYIKA KUPATA Uhuru Hadi 2030???!!!
Na ikitokea RAIS 2030 akawa Hussein Mwinyi au Mchengerwa maana yake WATANGANYIKA/WADANGANYIKA au MACHOGO KUPATA Uhuru Hadi 2040.
Upo wapi? Asubuhi ingia kazini, mchana kuanzia saa name ingia mafunzoni VETA Hadi saa 12 jioni.
Ukipata ujuzi HATA bosi huyo asipokuajiri sisi Kama " SERIKALI SIKIVU TUTAKUAJIRI KWENYE MIRADI YA KIMKAKATI KAMA BOMBA LA MAFUTA LA HOIMA AU MRADI WA SGR".
Dionis Mutalemwa Bushir wa ECG Makongo.....anayejiita mtoto was Apostle Bushir mmalawi aliyekimbilia AFRIKA kusini kutapeli watu....KAZI ipoooo!
Tutafika tumechoka Sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.