Recent content by mutukuzi

  1. M

    Mtangazaji yupi aliyekuvutia katika mchakato wa uchaguzi mkuu 2015?

    Huyu bwana Sam Mahela alifanya nipende bado niwe kipindi cha uchaguzi! Mahela.
  2. M

    Mtangazaji yupi aliyekuvutia katika mchakato wa uchaguzi mkuu 2015?

    Huyu bwana Sam Mahela alifanya nipende bado niwe kipindi cha uchaguzi! Mahela.
  3. M

    January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    baraza jipya kujulikana lini wadau?
  4. M

    VIDEO: Lowassa asema 'Chagua Wabunge na Mdiwani wa CCM' - Ifakara!

    Ulimi hauna mfupa. Ya sadam raisi wa Kuwait mbona tunayasahau?
  5. M

    Kardinali Pengo amkemea Lowassa

    Mwe jamani TUJITOKEZE kumng'oa mkoloni MADARAKANI. Kwani hii ni nchi ya watanzania wote. Habari za Eppa, escrow, nk tubadilishe mfumo.
  6. M

    Yaliyojiri Jangwani, Dar: Mkutano wa kuhitimisha Kampeni za mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli

    Inanipa shida tafsiri ya Hapa kazi tu A. Magufuli ni mchapakazi B. Akichaguliwa kutakuwa na kazi nyingi/ajira za kutosha. C. Atahimiza watu wafanye kazi kwa bidii D. Anafanya kazi kwa juhudi kubwa E. Atasimamia kazi Ni nini hasa maana/tafsiri ya hiyo falsafa.
  7. M

    Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    Kwani ni mwiko katibu mkuu kuchunga ng'ombe ? We vipi ndugu yangu. Mbona Kikwete ataenda kujihusisha na mambo hayo hayo ya kilimo. Pinda mbona anachunga ng'ombe na bado ni waziri mkuu. Anaweza kuchunga ng'ombe na bado harakati za siasa zikawa palepale. Mwenyewe nataka nianze kuchunga ng'ombe.
  8. M

    UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

    Ni kweli kabisa mkuu. Tatizo hawatuelezi tutasomaje hayo matokeo yatakayobandikwa vituoni mapema hata kabla ya kuchanwa na washindwa. Au ndio kusema wananchi hatuna haki kuyasoma, kama ni hivyo nini mantiki ya kuyabandika. Maana mawakala watajua matokeo tokea chumba /Sehemu ya kuhesabia kura...
  9. M

    Ninaanza kuwa na chuki na Mzee Mwanakijiji!

    Kama ndio hivyo kabadilika sana. Nimekuwa nikimkubali sana huyu Mzee kwa makala zake chache nilizowahi kuzisoma. Afu anaonekana ni mtu fulani aliyeelimika sana.
  10. M

    Mdahalo wa wagombea Urais kufanyika Oktoba 18, 2015

    Watatafuta kuhalalisha utafiti wao feki.
Back
Top Bottom