Kweli we kifaurongo!
Darasa la saba ulihitimu lini weye? eti ulinufaika? umenufaika nini wewe zaidi ya uzandiki? Umezaliwa na kizazi chenu wote CCM hivi unafikiri uwezo wako wa kufikiri utabadilika?
Na ndio maana wewe hata shule ulisumbua sana watu kwa akili yako mbaya, mvivu wa kuelewa halafu...
Jana mmepewa elfu mbili mbili mkazunguka Kinondoni na mashati yenu meusi mkinadi 2 zinatosha! Wapumbavu msiotumia akili na mawazo yenu mgando! Mrudi shule akaelewe mlikuwa mnasoma nini! Sio mnaenda enda tu kama kenge wanaofuata mkumbo safari ya mamba.
Tunawaangalia tu mlivyo na njaa na vikazi...
Ukwaju, Hapana mtu wangu si unajua maisha hayana masihara na nimeshaona mtu kamuua mkewe hivihivi.
Jamaa kalianziasha nje kule kumbe mdada alikuwa HIV carrier halafu jamaa akafanya nyumba ndogo, muda mfupi baadaye dada wa watu kaanza mara homa, mara kikohoo, mara kizunguzungu, jamaa kamuhudumia...
Lara1 you can make the best of it or you can let it get the very best out of you.
It takes passion and commitment to change anything, but changes starts with you and those around you!
When my time comes and when I have my interview with my God almighty, our conversation will focus on the...
That was meant for you sweetie!
It doesn't effect anything in my kingdom but thats not an excuse for me to let people like you swing unnoticed!!
Seems you are more concerned and happy about the person committing adultery na kushabikia ujinga!
A man/woman who commits adultery lacks judgment...
Utumbo unaoungea humu una-reflect ulinvyo na tabia zako za kikahaba period!! Nyie ndo kizazi kilicholaaniwa na kujifanya unaifahamu sana hii dunia, ushamba na ulimbukeni wa maisha ndo vinavyokusumbua. Msekwenge wa kike wewe! Hii dunia ingekuwa na amani sana watu kama wewe wasinge exist!!
Kule...
Nilianza ku edit kabla sijasoma mistari yako mkuu. Daah! nimeahirisha maana umemaliza kutoa elimu ileile niliyotaka kutoa kwa hawa nyaga watoto wa shangazi.
Dawa ya hawa machepele ni kuwapa mifubata tu!!
Kamata tano mkuu...
Kuna vitu unapaswa kufanya ila hufanyi na vilevile kuna vitu hupaswi kuvifanya ila wewe unafanya! Ndoa inataka uelewa mpana sana na sio mambo 6X6 tu baada ya hapo basi kila mtu anaangalia ustaarabu wake ujue hapo kuna utata na haichukui muda mrefu utasikia ndoa iko matatani.
Kupendana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.