Recent content by Mutensa

  1. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Advanced Excel Training - Register now

    Ni kwa ajili ya availability ya trainers.
  2. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Advanced Excel Training - Register now

    Hello, We are professional trainers in office applications and many other professional and career enhancement areas. Our well organized tools and techniques are meant to shape your skills to deliver the best to your clients, managers, employers, employees, students, etc. Advanced Excel...
  3. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Vyama vya jamii (kufa na kuzikana) - Matatizo na ufumbuzi

    Katika pita pita zangu, nimegundua kuwa watanzania wengi huwa wanaunda vyama vya kijamii kwa ajili ya "kusaidiana katika shida na raha". Leo naomba tuangazie matatizo ambayo ni commom kwa vyama vingi na tujaribu mwisho wa siku kuyatafutia ufumbuzi kwani vinapoteza hela nyingi za watanzania...
  4. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya nyumba 50,000 Kimara, Mbezi kubomolewa bila Fidia

    Mimi nilipoiona hiyo habari jana bila hata kumuuliza m2 nilijua kwa nchi kama Tanzania hiyo kitu haiwezekani na kama ingewezekana ningejua tuna makamasi Mengi sana katika ubongo wa wafanya maamuzi. Launching a project without funds??????????????????????
  5. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya nyumba 50,000 Kimara, Mbezi kubomolewa bila Fidia

    Someni vizuri hiyo habari. Ni The Guardian ya leo 20/Nov/2014.
  6. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Offer for Charitable Organisations only

    Good man, thank you and God enlighten you more.
  7. Mutensa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HD Documentaries

    Wakubwa, mimi ni mpenzi wa kuangalia documentaries. Naomba kujua hapa Dar es Salaam naweza kupata wapi HD quality documentaries. Nikipita kwenye libraries nyingi nakutana na movies tuu, ila documentaries sijaona.
  8. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Makongo juu - Goba - Mbezi Mwisho yatelekezwa

    Hii ni barabara ya Muhimu. Hawa watu wa Mungu wanaopita humo wanalipa kodi jamani. Viongozi sikilizeni matakwa ya wananchi na nchi.
  9. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Kasheshe la morogoro road

    Wanajamvi. Kuna ajali iliyotokea morogoro road watu wamelala kwenye magari. Mwenye update atujuze. Naongelea kipande cha mbezi hadi kibaha.
  10. Mutensa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Water level sensor

    Hello, Natafuta water level sensor + indicator inayoniwezesha kujua level ya maji kwenye tanki. Inaweza kuwa midhiri ya ile ya mafuta kwenye gari au hata "digital version" yake. Niko Dar es Salaam. Kwa anayejua pa kuipata naomba anijuze.
  11. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa buguruni stendi

    Mkuu mbona namba unazoweka hazipo?
  12. Mutensa

    JamiiForums Tanzania kiwanja kiko sokoni

    Nitakupigia tuongee japo kabei kako juu kimtindo.
  13. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Wakubwa maswali ya Kanyagio hayakupewa majibu. Hata hivyo, wakati nilipotembelea nane nane mwaka jana, nilijifunza kuwa Tanseed International wana mbegu ya mahindi inaitwa TAN H600 ambayo wali"showcase" kuwa inaweza kutoa magunia zaidi ya 20 kwa hekari. Kwa bahati mbaya sana nimepoteza...
  14. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Hivi wapi wana-train vijana wa kunyoa. Maana nataka nitafute vijawa wazuri kitabia niwatrain, then niwafungulie saloon wajitegemee.
  15. Mutensa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    ubarikiwe mkuu
Back
Top Bottom