Recent content by Mutanda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Leo ndio leo, ni deadline ya Barrick kutangaza kifo cha Acacia kwa neno moja tuu "PUSU" (Put Up or Shut Up). ni kubali ufe, kataa ufe!, no option!

    Huwa huwezi kuandika uzi mdogo tu mkuu? Mpaka utuandikie maparagraph na kuattach previous article's?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, Maalim Seif ndiye aliyemchongea Mzee Jumbe kwa Mwalimu??

    Duh!!! Jaji alikua kitengo?? Aiseeh [emoji15] [emoji15]
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

    Daaah Aiseeh hii Kweli JF...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Clubs za muziki Oysterbay barabara ya Haile Selassie ziko juu ya sheria?

    Umemsahau mzee Malai. Mungu amrehemu alipo, enzi zile yupo hai Pazi ilikua ya moto pale Tanesco. Alipeleka timu nzima kiwanja. Miaka hiyooooo mkuu..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Clubs za muziki Oysterbay barabara ya Haile Selassie ziko juu ya sheria?

    Huo ni UONGO ULIOTUKUKA na wivu wa hali ya juu. Ikifika saa nane Au Saa Saba usiku wanapunguza mziki na kuziba mlango wa kuingia.. Kwa watu wanaotoka hawaruhusu kurudi tena wala kuingiza mtu tena, wa ndani wa ndani wa nje wa nje. Tuachie Buckets yetu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais wetu tumeshamjua, twende na midundo yake!

    Ndugu Petro Inaonekana lile tukio la kuteuliwa kwa Profesa kwenda kuwa Waziri Katiba lilikuathiri sana. Maana tokea hapo unapigania Kweli uteuliwe na wewe Hata U DC kwa maandiko yako humu. Endelea kukomaa mkuu, wanakuona. Muda sio mrefu utaitwa. Nafasi zi wazi. Mutanda
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais wetu tumeshamjua, twende na midundo yake!

    Mtani wako Mpaka Leo hajaja na majibu ya lile swali Kule hahahaha. Heri ya mwaka mpya Mkuu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama huna ngozi nene usigombee urais!

    Mkumbushe mtani wako mkuu labda amesahau. Petro E. Mselewa mkuu bado tunasubiria jibu la swali la mtani wako Nyani..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama huna ngozi nene usigombee urais!

    Mkuu Nyani, Bwana Petro amekujibu au bado anatafuta vifungu? haha
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hakika nawaambieni, ipo siku mtajuta na kusema tungejua

    Hamna kitu yule. Leo hii anajifanya hajui yaliyojiri kwa chaguzi mbali mbali?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Siasa nchini imeanguka vijana wasomi wanapaswa kujipambanua kisomi!!

    Nimekuelewa sana mkuu. Wanasiasa sio watu wa kuwaamini hata kidogo. Wanatufanya wanavyotaka kwa maslahi yao binafsi na familia zao. Ni muhimu sana kuangalia upande mwingine, nimefurahi umetoa Solution’s ya kuepukana Na hii taasisi iliyojaa watu wa ajabu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tupitie kidogo hii Makala (Ujasusi wa kidola na kiuchumi))

    Mbona hii topic ya usaliti ipo sana leo humu kunani wakuu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

    Umezunguka zunguka tu kama kawa kawaida yako. Mafumbo as usual.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je tutegemee kikao cha Jakaya Kikwete na wazee wa jiji?

    Hahahahahah wamefukua kaburi.
Back
Top Bottom