Je tutegemee kikao cha Jakaya Kikwete na wazee wa jiji?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,188
42,014
Kama ilivyo kawaida ya huyu kijana pind anaposhindwa kufanya maamuzi ambayo yalisha fanyiwa huamuzi,mimi nilitegemea hilo kwa ndug pind kwa sababu yeye si kiongozi mwenye msimamo ila umtegemea j kufanya maamuzi. Kwa kifupi huyu ndug ni muoga sana, ata kutangaza mamuzi ambayo yalishafikiwa? kweli gamba ni gumu kulivua kama unalitegemea! waandishi wa habari waliitwa jana usiku na wakapewa taarifa kuwa chama chama cha magamba kimefanya kikao,nilishangaa sana,leo ndug pind anasema atatangaza maamuzi ya kikao jumatatu! kuanzia leo tutegemee kikao cha wazee wa jiji na jk na tutegemee baraza la mawaziri kusifiwa kwa kazi nzuri na tutegemee kejeli na kuchekwa kutokana na hoja ya mpambanaji wetu zitto ya kutokuwa na imani na waziri mkuu, na magamba kusifiwa kupitia hotuba yake.
YETU MACHO MAANA MAGAMBA YAMEKUWA MAGUMU HADI PIND ANASHINDWA KUYAONGELEA NA KUWARUSHA WAANDISHI.
 
Hahah Gambaaa

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Back
Top Bottom