Mimi ni Muhaya yaaan muhaya haswaa.. Huwa nafurahi sana naposikia watu wanavyotuongelea wahaya. Bila Shaka shida hipo lakini jamani tuna mazuri yetu pia mbona huwa tukiyaeleza hamtaki kabisa kuyasikia tuliwakosea nn Ndugu??
Kama Kuna Kipindi Ambacho Ww Msomi Unatakiwa Kujifunza Kutengeneza Kipato Huru Kwa Kujiajiri Basi Muda Ndio Huu. Kama Hamtataka Badilisha Hizo Mindset Wengi Wenu Mtashinda Jamii Forum Kutukana Viongozi Kwa Miaka Mingi Na Mtachobadilisha Ni Status Za Umember Tu Hapa JF Na Si Zaidi . Mh Rais...
Shida Si Kocha Sizonje, Tatizo ni aina ya wachezaji Alionao. Wachezaji hawataki Kufanya mazoezi,Kukimbia,kukaba Yote Hawataki. Wanataka Ushindi Tu Na Magoli Yao Yawe Penalt Tena Wakati Wanapiga Hizo Penalt Kusiwe na kipa Kabisa. Baada Ya Hapo Wawe Mabigwa Na Wanataka Wacheze Mechi Za Kimataifa...
Hapa Ndo Mahali Pekee Unapoweza kuitwa Genius kama Utapinga Jitihada Za Mh. Rais. Na Ukitaka Kuitwa Mzalendo Basi We Mtukane Kabisa. Aina Hii Ya Watu Wananitahadharisha Sana Niwe Makini Ninapotafuta Mkate Wangu Wa Kila Siku Sababu Watu Wa Aina Hii Ndio Tulionao Katika Jamii Zetu Hawataki Kabisa...
Nimesikitishwa Sana Na Maoni Ya Baadhi Ya Wachangiaji Wa Hii Mada. Mm Binafsi Kipato Changu Ni Ya Laki Tano, Nafikiri Kiwango Hiki Ndicho Kilikuwa Thamani Yangu Mbele Ya Macho Ya Mwajiri Wangu By That Time. My Point, Kwa Sababu Kipato Changu Ni Kidogo Haina Maana Sitakiwi Kumsikia Mtu Mwenye...
Wabongo Bana. Yaan mwenzie Kaleta Mada yeye Kajifanya kwamba anamawazo ya kisasa Sana kuliko mtoa mada. Basi ngoja tusikilize hizo plan zake za kisasa, Pumba tupu.
Kuwa na busara Mzee, Mtoa mada asingesubutu kusema anachofikiri sijui ww mdandia meli hizo critics zako za kishamba ungezitolea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.