Recent content by muta ngegi

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Mkopo unanitesa sana, si jambo rahisi kama wengi wanavyofikiria

    Daa hii mambo isikie kwa mwenzio...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto yupo Form 1 na likizo imeisha, Je arudi shule ya boys inayoshuka namba 1 hadi 3 kimkoa au ahamie mchanganyiko inayoshika nafasi ya 4 hadi 6?

    Habari Kiongozi! Hapo mwangalie Mtoto ni wa namba gani,na kwa kuwa Shule zote zinaonekana ni nzuri muulize yeye anataka Shule ipi,kisha mshirikishe na mama yake(Kama mnaishi wote). Shule atakayochagua jitahidi uwe unaangalia sana maendeleo yake kitaaluma.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ubaamedi ni kwa ajiri ya single mothers?

    ...duuuuu nyie vijana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Songea: Baada ya malalamiko ya Wananchi, RC wa Ruvuma afanya ziara kukagua Soko la Bombambili na masoko ya Manzese A

    Heshima kwako Ndugu!Marekebisho ya kichwa cha habari.Songea sio Mkoa ni Wilaya ndani ya Mkoa wa Ruvuma,hivyo andika RC Ruvuma
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu aliepo Morogoro, Ifakara anipe ABC za mchele sasa hivi?

    Habari Kiongozi, naomba kuuliza hiyo 300 ni kwa usafiri wa Treni au?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Hahaaaaaa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Asante sana kwa mrejesho Kiongozi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Shukrani sana Kiongozi,ndo maana jamii forum ni kisima cha mambo mengi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Salaam Wanajamiiforum! Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu unaanza lini na unaisha lini. Jibu nikawa sina,hivyo nimekuja kwenu kuomba anayejua aniambie na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Asante sana hagau! Hizo za wami Dakawa zinaanza lini yeye ni kibarua sio wale wa ofisini
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Salaam Wanajamiiforum! Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu unaanza lini na unaisha lini. Jibu nikawa sina,hivyo nimekuja kwenu kuomba anayejua aniambie na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Tunakatazwa kupakia Samaki kwenye Mwendokasi mpya

    Kiongozi we andika huwezi jua labda yumo humu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu Leo kwa Mara ya Kwanza. Hii Kitu (Pichani) ni Tamu Aisee Asikwambie Mtu!

    Username yako kiboko...mpaka nimecheka
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mixx by Yas (Tigo Pesa) walivyonilaza stendi ya basi

    Habari Kiongozi,hii inakuwaje ninaomba ufahamu zaidi ni tofauti na kuweka m-pesa ya kawaida? Naomba elimu tafafhali
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

    Asante sana Kiongozi
Back
Top Bottom