*WABUNGE WA CHADEMA WAMEONYESHA KWA VITENDO*
*JOHN HECHE TARIME VIJIJINI*
*ESTER BULAYA BUNDA MJINI*
*ESTER MATIKO TARIME MJINI.*
Hawa ni wabunge kwa tiketi ya chadema, wabunge hawa wamekuwa mfano wa kuigwa mkoani mara, ni wabunge ambao wameonyesha kuweza kuwahudumia wananchi kwa vitendo na...
*WASOMI HAMUONI HILI*
*USALAMA WA TAIFA HAMUONI HILI*
Mh rais unatoa ruzuku kwa vyama vya siasa kila mwezi moja ya kazi kubwa ya ruzuku hizi ni kuhakikisha chama kinajijenga,kinafanya mikutano na kulipia gharama zote za harakati na siasa, hivi kama unapiga marufuku siasa mpaka 2020. Je hizi...
*CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)* *OFISI YA BAVICHA MKOA- MARA*
*S.L.P 1537 - MARA TANZANIA*
*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*
Ndugu waandishi wa habari, kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima na mpaka sasa tuko pamoja nanyi, vile vile ninawashukuru kwa kufika...
BARAZA LA VIJANA MKOA WA IRINGA (BAVICHA)
06/07/2016
Taarifa kwa vyombo vya habari!
Ndugu waandishi wa habari, Awali ya yote naomba nianze Kwa kumshukuru Mungu Kwa kutujalia afya na uzima hata tukaweza kukutana hapa asubuhi ya leo tukiwa salama. Pia tunamshukuru Mungu kwaajili ya ndugu zetu...
WASOMI VYUO VIKUU WAMPONGEZA LOWASSA.
Ndugu watanzania na wananchi wote , awali ya yote tunapenda kuwasalimu wazazi na walezi wetu.
kwanini WANAVYUO TUNAMUUNGA MKONO mh LOWASSA.?
Mh lowassa amekuwa waziri mkuu wa muda wa miaka mitatu 2005-2008.
ni wazir mkuu ambaye ameacha TAIFA...
SABABU KUBWA ILIYONIFANYA NIGOMBEE NAFASI YA RAIS CWT TAIFA mimi mwl MTOTOMWEMA KASPAR.
1. Ucheleweshwaji wa upandaji kwa madaraja ya walimu ni kero ya muda mrefu.
2.Kukosekana kwa mrejesho wa mgomo wa walimu ambao waligoma kuonyesha umma na dunia na baadae mgomo ukasimamishwa pasipo walimu...
Chama cha mapinduzi kimekaliiwa mara nyingi kikisema kina mikakati ya kukomboa majimbo yote ya upinzan mpaka sasa chama hicho kimetambua na kugundua kuwa kimechelewa na hakiwezi tena kuokoa majimbo waliopoteza bari wanajipanga kupoteza mengine na sasa.katika vikao vyao wanafikiria kukomboa mitaa...
Umoja wa wanafunzi vyuo vikuu unaoundwa na vyuo zaidi ya vitatu mkoani humo ambavyo ni university of iringa(tumaini), ruaha catholic university ruco, Mkwawa university muce na vingine, katibu wa ccm mkoani humo amesikika akilaumu katika vyombo vya habari mara nyingi.
kwamba ameshindwa maeneo...
Iringa MJINI tumelinda mtaa wetu wa kihesa
kilolo B NA kuongeza A,MKIMBIZI B, D NA
C,.HII N KATA YA MKIMBIZI,
NDULI MITAA MIWILI.
MTWIVILA MITAA MINNE
RUAHA MITAA SITA
KITWIRU MITAA SABA
GANGILONGA MITAA MIWILI.
MAKORONGONI MITAA MIWILI
ILALA MITAA MIWILI,
IGUMBILO MTAA MMOJA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.