Wabunge wa CHADEMA wamewafundisha CCM

MUSUMIFYCOM

Member
Nov 28, 2012
55
28
*WABUNGE WA CHADEMA WAMEONYESHA KWA VITENDO*

*JOHN HECHE TARIME VIJIJINI*

*ESTER BULAYA BUNDA MJINI*

*ESTER MATIKO TARIME MJINI.*

Hawa ni wabunge kwa tiketi ya chadema, wabunge hawa wamekuwa mfano wa kuigwa mkoani mara, ni wabunge ambao wameonyesha kuweza kuwahudumia wananchi kwa vitendo na sio maneno. Wameonyesha moyo wa kusaidia kukerwa na matatizo ya wananchi.Wabunge hawa watatu wamekuwa kivutio kikubwa cha vijana hasa vijana wa kike, wameona mfano ambavyo mwanamke anaweza kuongoza kwenye jamii ya watu ambao walikuwa wanaamini katika mfume DUME. wabunge hawa wametoa misaada mbali mbali kwa muda mfupi tangu wamekuwa wabunge Ningependa kuviorodhesha hapa ila kwa wingi wa misaada hiyo. Nakushauri tembelea harmashauri huska na utaona jinsi gani MBUNGE AMEWEZA KUTUMIKIA WANANCHI WAKE, JAPO KUNA NGUVU KUBWA YA KIUTAWALA AMBAYO INATUMIKA KUZIMA NA MAENDELEO HAYA.

*ILA NAWAMBIA WANAZIMA MWANGA WA TOCHI KWA KWA UPEPO HAWATAWEZA*

Kwa jitihada za wabunge hawa Ninaamini kabisa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KINA HAZINA KUBWA YA VIONGOZI NA KITAENDELEA KUTAWALA MAJIMBO HAYO KAMA WABUNGE HAWA WATAENDELEA NA UMOJA WAO NA KUWAHUDUMIA WANANCHI.

Tunahitaji kuwa na viongozi ambao wanatambua matatizo ya watanzania, wanatambua shida za wananchi wao,Tunakumbuka wabunge hawa hawakuahidi *SHIDA KWA WANANCHI WAO, ILA WALIAHIDI KUWATUMIKIA,KUWASAIDIA NA KUWAONYESHA NJIA PALE PASIPO NA NJIA.*

Viongozi na wabunge wengine tunahitaji kushinda tena 2020, sio kushinda kwa kulazimisha tunahitaji wananchi waamue wao ni nani anatakiwa tena kuwa MBUNGE. Tunatambua kuna changamoto nyingi, tunatambua pia kuna shida binafisi na za kifamilia ila KUNA MSEMO UNASEMA.

*USICHEZEEE KAZI, CHEZEA PESA*

HIYO NDIO KAZI YENU.

*HONGERENI WANA MARA KWA KUPATA WABUNGE MAKINI NA WENYE UWEZO WA KUONGOZA.*
Na
*Musumi,f.*
 
Ukatibu mkuu bora cdm wangempaga John Heche Jamaa hanaga porojo nyingi na kweli anatendea haki jimbo lake... naimani 2020 atapita tena kwa kishindo kikubwa anawahudumia sana wananchi wake kuliko kupiga porojo
 
hongera sana kwao. Hizo ndio habari sa kujisifia sio maandamano na maneno mengi yasiyo na vitendo.
 
Huo ni mfano mdogo tu wa vijana wachache wa CHADEMA,CHADEMA wangeshika dola Tanzania ingeogelea kwenye bahari ya maendeleo.
 
Huu upuuzi wa kuwa mbunge lazima utoe misaada(mostly material ones) shows how low our political intelligence is.

Shameful for CDM to get stuckon this hopeless charade
 
Huu upuuzi wa kuwa mbunge lazima utoe misaada(mostly material ones) shows how low our political intelligence is.

Shameful for CDM to get stuckon this hopeless charade

Bora umeliona hili ndugu, huu mchezo ndio ulichangia kupata wabunge wapiga deal na kuacha wajibu wao wa kuisimamia serekali. Sasa hivi eti maendeleo yakikosekana mahali unasikia mbunge wao hajafanya kitu. Kweli mbunge ana pesa za kuleta maendeleo mahali? Halafu hili unakuta hata mtu msomi anazungumza tena hadharani eti mbunge hajaleta maendeleo jimboni kwake!!!
 
Kuna kaukweli hapa.. Hao wabunge nawakubali katika wabunge wa upinzani. Ningefurah wangeungana na CCM ya Sasa ya magufuli
 
Back
Top Bottom