Magufuli ampiku Lowasa urais 2015

Magufuli ampiku Lowasa urais 2015

Magufuri kumfananisha na Lowasa ni sawa na kulinganisha ardhi na mbingu,kimsingi LOWASA ni jembe,ni kiongozi safi Maufuli hamfikii hata kwa chembe

mie mwenyewe nilikua shabiki wa lowasa ila nimepiga 180 degree baada ya kubaini anaweza apate wakati mgumu kuchuana na slaa.aweza kushinda lakini atapata mchuano mkali sana.ila makufuli lile ni JEMBE.
 
[h=5]JE LOWASA NI MTU SAHIHI?

Edward ngoyai lowasa na URAISI 2015
Ni mzee nguli katika siasa za fitina Tanzania na afrika mashariki huku akisifika kwa maamuzi magumu anayoimba kila siku ilihali sijawahi kuona maamuzi aliyowahi kuyatoa ilhali amekalia ofisi za uma kwa zaidi ya nusu ya umri wake.
Aidha nijaribu kuainisha baadhi ya matendo yake yenye utata ili watanzania wanaorubunika kirahisi wapate kuelewa aidha wakihamua wabaki na ushabiki ama wapone;-
1.Edward anatuhumiwa kwa kuchukua maji kwa ubavu kutoka Arumeru na kuyapeleka kusikojulikana [mito ya maji 3 kwa kuyafukia kwenye makalvat kina kirefu, pia yamewekewa patrol ya polisi ] ilihali akitoa tone na kuyaelekeza kwenye kambi ya jeshi monduli ili atumie fursa hiyo wanajeshi wayalinde kwamba ni yao kumbe ni kwa maslahi binafsi. Hapa tujiulize swali inakuweje jeshi linalotumia kodi za watanzania lilinde maji ya lowasa? Inakuweje askari polisi walinde maji kwa maslahi siyo ya kitaifa ama jamii bali ni uwekezaji wa lowasa? TAYARI TULIMUAGIZA JOSH. NASSARI MB. ALIFUATILIE LAKINI BADO HAJATOA JIBU.
2.RICHMOND – huu ulibainika ulikuwa mradi wake akishirikiana na swahiba wake kikwete ` `IF U HANDLE A TERRORIST U ARE A TERRORIST TOO `` NI KAULI YA WAMAREKANI. Tuhuma hii inamuangukia kutokana na kwamba ndiye aliyekuwa na dhamana ya shughuli za serikali na kushindwa kuwawajibisha wahusika aidha kwa kuwalinda wahuni hao pia naye uhuni unakuwa sehemu ya maisha yake ama ndiye mwenye mradi moja kwa moja maana hadi sasa RICHMOND ni sintofahamu. YOTE KWA YOTE ANAUTAKA URAISI WA TANZANIA ANAYOTUHUMIWA KUIFILISI.
3.UJANGILI –edward anahusishwa na vitendo vya ujangili mkoani arusha na manyara kupitia kivuli cha kampuni yake LEOPARD TOURS YENYE MAGARI YA CREAM Maana kuna LEOPARD TOURS yenye magari meupe inamilikiwa na tajiri wa kwanza nchini india mwenye hisa nyingi kwenye fast jet anaishi JIJINI HYDRA MT. MUMBAMBEY- india. Hii ni hatari kwa afya ya taifa letu endapo tutamkubali mtu hatari namna hii aitawale nchi yetu.
NYERERE ALISEMA `EDD IKIWA NIMEKUPA WIZARA YA MIFUGO UMENIJENGEA MAGOROFA NA UKWASI HUU JE NIKIKUPA NCHI ITAKUWEJE? Watanzania wenzangu nachelea kusema ikiwa kafanya haya akiwa chini ya mtu je siku akiwa kileleni itakuweje?
4.GAMBA- Lowasa ,change na rostam waliitwa magamba / wezi wa rasilimali zetu siyo na shami bali na mkuu wan chi,tena walitajwa na pius msekwa na wakapewa siku tisini waachie ngazi jambo ambalo lisingetosha maana ikiwa jinai imefanyika muhamuzi ni mahakama, aghalabu hata hako kaadhabu ka ubabaishaji alikokabidhiwa nape kameishia mitini amemalizia kwa kusema `JK HATUKUKUTANA BARABARANI`` Hivyo ikadhihirisha kwamba madili wanapiga wote kwa yamini. Bado huyu mtu aliyetajwa kwamba ni mchafu leo hii anaitia watu nyama wanajisahau na kuanza kumuita jembe `POLE SANA MMA SHELUKINDO` KWA KUJITOA FAHAMU……..
KWA HIYO MNATAKA KUSEMA GAMBA/MWIZI APEWE NCHI AIONGOZE? Watanzania mkiamua kufanya kinyesi kwamba ni chakula sawa lakini hata mungu ataumia sana endapo mtajaribu hili.
5.uadilifu, mzee huyu kwa orodha hii chache suala la uadilifu ni sifuri ,ikiwa anadiriki kutumia ofisi ya umma kwa maslahi binafsi kama anavyotumia jeshi na polisi huko arumeru.
6. NGURDOTO MOTEL -kuna sintofahamu kubwa juu ya umiliki wa hii hoteli yenye kubeba maraisi 30 ndani ya ikulu imara isiyoingiza bomu wala risasi ambapo nimeifuatilia kwa uendeshaji wake inadaiwa kukwepa mapato na shuru mbalimbali jambo ambalo lilikuwa kwenye ilani yangu wakati nilipokuwa natafuta kiti cha arumeru mashariki.
Hili ni jambo hatari sana kwa ustawi wa taifa letu kwa kiongozi wa juu mwenye ushawishi kufanya jambo kama hili nab ado anahitaji uraisi.

7. PIA ANAHUSISHWA NA UMILIKI WA ANAPA [ MOMELA NATIONAL PARK ] inayomuingizia ukwasi bila kulipa kodi kinyume na katiba ya nchi.

IKIWA MNAHISI NIMEMUONEA NIMETUMIA UHURU WANGU WA KUHOJI ,KUDADISI NA NI JUKUMU LA SERIKALI KUHAKIKISHA NAPATA HIZI TAARIFA KWA WAKATI NA SIYO KUNIPIGIA CM ZA VITISHO.LIWALO NA LIWE LAKINI HAKI YA WATANZANIA ISIPOTEE.
`` KATIKA SUALA LA UKOMBOZI NI LAZIMA WENGINE WAKUBALI KUWA MBEGU``

WENU KAMANDA JASIRI
SAMWEL SHAMI KATIBU BAVICHA –KAHAMA.[/h]
 
JE LOWASA NI MTU SAHIHI?

SAMWEL SHAMI KATIBU BAVICHA –KAHAMA.

Aiseeee kumbe ndo maana jamaa anautaka urais kwa nguvu namna hii??
 
kwa namna yeyote serikali ijayo lazima itakua ya mseto.na rais ajae atoke ccm au cdm hawezi akawa na mamlaka kama marais waliopita,atakua rais dizaini ya mwai kibaki.

Duh utabiri huu unaelekea kutimia
 
mie mwenyewe nilikua shabiki wa lowasa ila nimepiga 180 degree baada ya kubaini anaweza apate wakati mgumu kuchuana na slaa.aweza kushinda lakini atapata mchuano mkali sana.ila makufuli lile ni JEMBE.

Kweli mkuu Magufuli ni jembe la uhakika. Lowasa atabakia kuwa fisadi tu
 
JE LOWASA NI MTU SAHIHI?

Edward ngoyai lowasa na URAISI 2015
Ni mzee nguli katika siasa za fitina Tanzania na afrika mashariki huku akisifika kwa maamuzi magumu anayoimba kila siku ilihali sijawahi kuona maamuzi aliyowahi kuyatoa ilhali amekalia ofisi za uma kwa zaidi ya nusu ya umri wake.
Aidha nijaribu kuainisha baadhi ya matendo yake yenye utata ili watanzania wanaorubunika kirahisi wapate kuelewa aidha wakihamua wabaki na ushabiki ama wapone;-
1.Edward anatuhumiwa kwa kuchukua maji kwa ubavu kutoka Arumeru na kuyapeleka kusikojulikana [mito ya maji 3 kwa kuyafukia kwenye makalvat kina kirefu, pia yamewekewa patrol ya polisi ] ilihali akitoa tone na kuyaelekeza kwenye kambi ya jeshi monduli ili atumie fursa hiyo wanajeshi wayalinde kwamba ni yao kumbe ni kwa maslahi binafsi. Hapa tujiulize swali inakuweje jeshi linalotumia kodi za watanzania lilinde maji ya lowasa? Inakuweje askari polisi walinde maji kwa maslahi siyo ya kitaifa ama jamii bali ni uwekezaji wa lowasa? TAYARI TULIMUAGIZA JOSH. NASSARI MB. ALIFUATILIE LAKINI BADO HAJATOA JIBU.
2.RICHMOND – huu ulibainika ulikuwa mradi wake akishirikiana na swahiba wake kikwete ` `IF U HANDLE A TERRORIST U ARE A TERRORIST TOO `` NI KAULI YA WAMAREKANI. Tuhuma hii inamuangukia kutokana na kwamba ndiye aliyekuwa na dhamana ya shughuli za serikali na kushindwa kuwawajibisha wahusika aidha kwa kuwalinda wahuni hao pia naye uhuni unakuwa sehemu ya maisha yake ama ndiye mwenye mradi moja kwa moja maana hadi sasa RICHMOND ni sintofahamu. YOTE KWA YOTE ANAUTAKA URAISI WA TANZANIA ANAYOTUHUMIWA KUIFILISI.
3.UJANGILI –edward anahusishwa na vitendo vya ujangili mkoani arusha na manyara kupitia kivuli cha kampuni yake LEOPARD TOURS YENYE MAGARI YA CREAM Maana kuna LEOPARD TOURS yenye magari meupe inamilikiwa na tajiri wa kwanza nchini india mwenye hisa nyingi kwenye fast jet anaishi JIJINI HYDRA MT. MUMBAMBEY- india. Hii ni hatari kwa afya ya taifa letu endapo tutamkubali mtu hatari namna hii aitawale nchi yetu.
NYERERE ALISEMA `EDD IKIWA NIMEKUPA WIZARA YA MIFUGO UMENIJENGEA MAGOROFA NA UKWASI HUU JE NIKIKUPA NCHI ITAKUWEJE? Watanzania wenzangu nachelea kusema ikiwa kafanya haya akiwa chini ya mtu je siku akiwa kileleni itakuweje?
4.GAMBA- Lowasa ,change na rostam waliitwa magamba / wezi wa rasilimali zetu siyo na shami bali na mkuu wan chi,tena walitajwa na pius msekwa na wakapewa siku tisini waachie ngazi jambo ambalo lisingetosha maana ikiwa jinai imefanyika muhamuzi ni mahakama, aghalabu hata hako kaadhabu ka ubabaishaji alikokabidhiwa nape kameishia mitini amemalizia kwa kusema `JK HATUKUKUTANA BARABARANI`` Hivyo ikadhihirisha kwamba madili wanapiga wote kwa yamini. Bado huyu mtu aliyetajwa kwamba ni mchafu leo hii anaitia watu nyama wanajisahau na kuanza kumuita jembe `POLE SANA MMA SHELUKINDO` KWA KUJITOA FAHAMU……..
KWA HIYO MNATAKA KUSEMA GAMBA/MWIZI APEWE NCHI AIONGOZE? Watanzania mkiamua kufanya kinyesi kwamba ni chakula sawa lakini hata mungu ataumia sana endapo mtajaribu hili.
5.uadilifu, mzee huyu kwa orodha hii chache suala la uadilifu ni sifuri ,ikiwa anadiriki kutumia ofisi ya umma kwa maslahi binafsi kama anavyotumia jeshi na polisi huko arumeru.
6. NGURDOTO MOTEL -kuna sintofahamu kubwa juu ya umiliki wa hii hoteli yenye kubeba maraisi 30 ndani ya ikulu imara isiyoingiza bomu wala risasi ambapo nimeifuatilia kwa uendeshaji wake inadaiwa kukwepa mapato na shuru mbalimbali jambo ambalo lilikuwa kwenye ilani yangu wakati nilipokuwa natafuta kiti cha arumeru mashariki.
Hili ni jambo hatari sana kwa ustawi wa taifa letu kwa kiongozi wa juu mwenye ushawishi kufanya jambo kama hili nab ado anahitaji uraisi.

7. PIA ANAHUSISHWA NA UMILIKI WA ANAPA [ MOMELA NATIONAL PARK ] inayomuingizia ukwasi bila kulipa kodi kinyume na katiba ya nchi.

IKIWA MNAHISI NIMEMUONEA NIMETUMIA UHURU WANGU WA KUHOJI ,KUDADISI NA NI JUKUMU LA SERIKALI KUHAKIKISHA NAPATA HIZI TAARIFA KWA WAKATI NA SIYO KUNIPIGIA CM ZA VITISHO.LIWALO NA LIWE LAKINI HAKI YA WATANZANIA ISIPOTEE.
`` KATIKA SUALA LA UKOMBOZI NI LAZIMA WENGINE WAKUBALI KUWA MBEGU``

WENU KAMANDA JASIRI
SAMWEL SHAMI KATIBU BAVICHA –KAHAMA.

Huyu katibu wa Bavicha sijui sasa hivi ana maoni gani kuhusu hiki alichoandika?
 
Msafara wa magufuli waacha gumzo
Wajameni ndo kusema watu wa kanda ya ziwa wanamthamini mtu huyu kwa nafasi ya juu kabisa (Urais) hata kabla ya uchaguzi 2015 ?

Story nzima hapa chini, kazi twende!

MSAFARA wa Waziri wa Ujenzi, John Mgaufuli umeacha maswali jijini Mwanza baada ya kuwa na magari 26,viongozi mbalimbali wa mkoa na kusindikizwa na kuongozwa na pikipiki inayoongoza msafara wa viongozi wa kitaifa akiwa Rais.

Magufuli ambaye alikuwa katika ziara ya kikazi mkoani Mwanza kwa ajili ya kuangalia barabara ya kutoka uwanja wa Ndege kwenda Igombe ambayo inapaswa kufungwa kupisha ujenzi wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza, mbali na kusindikizwa na gari la kamanda wa polisi wa mkoa, pia kila alipopita kulikuwa na askari wa usalama barabarani ambao walikuwa wakizuia magari kuruhusu msafara wake kupita.

Msafara huo ulianzia ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Mwanza na kuelekea Igogo saa 3:14 asubuhi kwa ajili ya kukagua ujenzi wa barabara zilizojengwa kwa mawe, kwanza ulitanguliwa na pikipiki ya Jeshi la Polisi iliyokuwa ikisafisha njia na kufuatiwa na gari la Kamanda wa Polisi ambalo lilikuwa limewasha taa na kufuatiwa na gari la Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na nyuma yake gari la Waziri Magufuli na kisha magari mengine ambayo idadi yake ilikuwa zaidi ya 26.

Mbali na kutanguliwa na magari, pikipiki hiyo ya king’ora pia katika makutano ya Barabara ya Nyerere na Bungando walikuwa wameandaliwa askari wa usalama barabarani kuzuia magari ili msafara huo kupita pamoja na njia nyingine zinazoingia katika barabara hiyo.

Source : Mwananchi, 12 January 2013​

Unashangaa msafara rasmi wa magufuri kuwa na magari 26 tu?! aise we hujui kinachoendelea... uliona msafara wa lowassa dar? Hayo kwanza tuachane nayo magari yalikuwa hayana idadi. Na jana pia alipokuwa anaenda msibani arusha alikuwa na magari 40 na pimipiki 400. Achana na lowassa wewe
 
Hivi kashifa yake ni hiyo tu? Hamnaga story nyingine zaidi ya nyumba? Afadhali mwenzenu ana single, wa kwenu ashazindua album za scandal
 
"Kaka yangu kheri ungetenda haki kwa kusimama miguu miwili" ni dhahili umeonyesha mapenzi yako kwa upande mmoja"
 
Hivi kashifa yake ni hiyo tu? Hamnaga story nyingine zaidi ya nyumba? Afadhali mwenzenu ana single, wa kwenu ashazindua album za scandal
Kowasa awe fisadi au msafi. Kura yangu ni haki yake. Mtamsema sana ila Urais ni haki yake
 
Mie tangu Magufuli asimamie uuzaji wa kijambazi wa nyumba za umma kwa wabunge na mawaziri wa CCM sina hamu naye. Kwa ufupi hakuna mtu wa maana kwenye CCM. Wote ni wachafu mafisadi na mafisi so to speak.

Magufuli kwa alikuwa kiongozi wa nchi wakati huo? Angeweza kumzuia Mkapa hasijimilikishe Ikulu ya Lushoto? think before br.
 
Magufuli ana wakati mgumu sana sababu jk kaacha taswira mbaya ya serikali kutokana na mfumuko wq bei na uwongo kama maisha bora.magufuli atatumia mbinu zilezile kwa wananch tofauti kabisa na wale wa 2005 mfano mzur ahad za laptop kwa walimu huu ni mzaha na milion 50 kwa kijiji Hanya haitoshi hata kujenga madarasa manne
 
Habari kama hizi ndio zinanifungua macho kwakiasi kikubwa na kuona kuwa watanzania tumelogwa na alietuloga kafa!Nilikuwa nimesharudisha imani yangu kwa huyu Mzee Lowasa lakini sasa nasema BIG NO kwa EL!!!Shukran za dhati kwa alieufufua uzi huu.

Back
Top Bottom