Recent content by MUSTAPHA

  1. M

    BAJETI: Serikali kurejesha Kodi ya SimuKadi, walevi kukiona--waanze kujizoesha kunywa maji!

    Serikali ina uvivu wa kufikiria vyanzo vingne vya kujiongezea mapato.Imekalia kuongeza kodi katika vyanzo vilevile kila mwaka,hakuna ubunifu kabisa.Kinachokera zaidi na kukatisha tamaa ni pale tunapopata habari za wizi wa fedha zetu kila kukicha na bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa.Hii...
  2. M

    Namuonea huruma sana Mnyika kwa kuingia kwenye ngoma ya kihafidhina

    Mnyika alijizolea umaarufu mkubwa kwa umahiri wake wa kujenga hoja zenye mashiko,kuwa na msimamo ktk anachokiamini,kutokubali kuyumbishwa na kununuliwa.Pia alieleweka na watz wengi kuwa ni mtu makini na mwenye upeo mkubwa wa kufikiri.Lakini jana huyu jamaa amejishushia sana heshma...
  3. M

    Zitto aliponda baraza la mawaziri kuhusu CHC

    Zito endelea kuwanyima usingizi hao,napenda unavyojenga hoja kwa ujasili.Halafu huyo mama kazi itamshinda.
  4. M

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    Miongoni mwa sababu zinazonifanya nimkubali Zito ni umahiri wake wa kujenga hoja,ujasiri alionao na ubunifu.Huyu jamaa ndani ya CHADEMA ni nguzo muhimu mno.Ila wanachonikera viongozi wa juu wa CDM ni katabia kao ka kutaka kumdhoofisha huyu jamaa kisiasa.ACHENI HIZO!
  5. M

    Ni wazi sasa: Mbowe na Zitto hawaivi

    Wanaotetea kwamba Mh Zitto na Mbowe hawana bifu ni yule tu ambaye ana mapenzi makubwa na CDM kiasi kwamba hata hatengi muda kufikiria kama baadhi matatizo ya chama chao.Wanavyodhani wao ni kwamba, chama chao ni kisafi kama pesa mpya.Ukweli ni kwamba Mbowe hampendi Zitto.Sio kwa hili tu,mengi...
  6. M

    HOJA YA KATIBA: Waislamu kushinikiza Mahakama ya Kadhi

    Suala la mahakama ya kadhi wasio waislamu haliwahusu.Inasikitisha kuona kuwa hao ndio wenye vimbelembele katika kuipinga mahakama ya kadhi.Hivi nyinyi inawahusu nini?Haya ni masuala ya waislamu mutuachie wenyewe tunaojua umuhimu wa kuwepo kwa mahakama hiyo.
  7. M

    Kikwete 'jino kwa jino' na Lowassa

    CCM inatakiwa kupiga hatua zaidi kwa kubadilisha sera zinazoonekaa kutoleta tija kwa wakulima na wafanyakazi.Kisiwajali zaidi wafanyabiashara eti kwa sababu inasemekana wanakifadhili chama hicho.Ifike hatua yeyote atakayethibitika ana kashfa ya rushwa hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi...
  8. M

    GE2010 Wazanzibar wamechachamaa wanadai talaka,nini hatma ya muungaano?

    Katika mjadala wa muswada wa katiba uliofanyika Zanzibar,wazanzibar waliojitokeza katika mjadala huo sio tu waliupinga muswada huo,bali walisikika wakiukataa na muungano pia.Katika fikra zao wanaamini ya kuwa wao hawanufaiki na muungano kama wanavyonufaika nao watu wa bara.Hekima na busara za...
Back
Top Bottom