Recent content by Mustang_

  1. M

    JamiiForums Tanzania Godoro gani la quality ya juu kuepusha maumivu ya mgongo?

    Dodoma utalia tu! Ulitakiwa ununue ya le ya QFL ya Dodoma na si Magodoro Dodoma.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Godoro gani la quality ya juu kuepusha maumivu ya mgongo?

    Magodoro ya uhakika nunua Tanfoam kama una maumivu ya mgongo chukua orthopedic ya Tanfoam. Kujua bei na wapi utapata wacheki kenye page zao watakupa bei na namba za wakala kutokana na eneo unalopatikana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Afrika ina Rais mmoja tuu Mwanamke, Samia Suluhu Hassan

    The current president is Taye Atske Selassie, elected on 7 October 2024 by members of the Federal Parliamentary Assembly.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, Apple wanadanganya kuwa stolen iPhone haiwezi kutumika tena?

    Kwa sasa wapo resellers wanaotambulika na wanatoa official apple warranty na simu zinakuja kwa ajili ya east Africa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ninunue kiwanja, Kibaha, Kigamboni ipi,au maeneo yapi mazuri kwa Dar buget15milioni

    Inategemea anapata upande upi na umbali upi kutoka lami.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ninunue kiwanja, Kibaha, Kigamboni ipi,au maeneo yapi mazuri kwa Dar buget15milioni

    Tafuta maeneo ya mbezi luguruni hutakosa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama bado unajitafuta toyota passo ndo usafiri sahihi

    Hii unayoizungumzia ni ya 990 ama 1,290?
  8. M

    JamiiForums Tanzania TPA kwanini system zenu zipo chini (Wharfage azisomi kwenye ICD zenu haswa Tabata)?

    Moja kwa moja bila kupoteza muda ni kwamba hivi karibuni magari niliyowaagizia wateja yamekwama kutokana na system kuwa chini (Wharfage aziomi kwa wakati). Swali langu kwenu ni lini tabia hii ya uzembe itaondoka na kuepusha kero hizi ili kurahisisha biashara kusonga mbele na kuondoa mizozano...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sekta ya afya yazidi kuimarika chini ya Serikali ya Rais Samia

    RAIS SAMIA AANDIKA HISTORIA NYINGINE KIGOMA Mkoa wa Kigoma umepata mashine ya CT-Scan kwa mara ya kwanza. Sasa hospitali zote za rufaa za mikoa zina mashine hiyo inayotumika kufanya vipimo vya ndani ya mwili. #MamaYukoKazini
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ikinyesha kidogo tu tayari andika Maumivu kwenye visimbuzi

    Hata DSTV ina shida hiyo tena bora Azam kwa kuwa huvumilia.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia Wanashindana na raia kwenye Plate number za Magari? STM vs T EAA?

    Wala Serikali haishindani inafanya manunuzi kutokana na mahitaji.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia endelelea kuwatumikia Watanzania kwa uaminifu, pia Katiba Mpya ni muhimu sana

    Mungu aendelee kutunusuru, tutafika salama.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu magari

    Ata chuga zipo mitaa ya kilombero wanakouzia spea zipo za kutosha na nyingine unaweza zipatia kutokea nairobi ni bei rahisi.
Back
Top Bottom