Kwa experience ya visiwa vya Bukoba mvua zinaweza nyesha kwa huu mwezi wa 9 na 10 pia.
Lakini nachoweza kukushauri ni kwamba ingia mzigoni mkuu upige kazi,, kwenye icho kipindi cha mvua,, mzigo unaweza kuwa changamoto kukusanya lkn uzuri ni kwamba ukiupata, sokoni pia utauza kwa bei nzuri sana.