Mr salumu yasini nina ishi mbeya town natafuta mchumba mrembo awe na umri 18-20years na awe amesoma atleast form4 to form6,mm nasoma chuo jijini mbeya mwaka 2.wasiliana kwa namba 0657134330 or salumuyasini@gmail.com
Kujiuzulu Siyo Njia Sahihi Ya Kutatua Tatizo,tumeshamgundua Mchawi Ni Nani na alipaswa kutumiwa,na Atuwezi Kumwacha Kiongozi Fulani eti kwasababu ya nyazifa zake halipaswa atumiwe tu ili iwe fundisho,je na nyie viongozi mnaojiuzulu mulikuwa wafuata upepo,haaa! mnatuangusha jamani kuweni na...
siku hizi mapenzi umekuwa mchezo mbaya sana inatokea umempenda msichana alafu unakuta anafanya mahusiano la rafiki yako kabisa hivi mwanawake wa siku nashindwa kuelewa sijui wanamatatizo gani kwasababu vitendo wanavyo fanya si vizuri kabisa .je tufanyaje kuzuia tatizo hili maana linakera sana
swala la katiba ni muhimu sana tuhusishe watanzania wote pasipo kuangalia hali ya mtu kama vile kiuchumi, kijamii na kisiasa ili tuweze kuwa na katiba bora
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.