Tatizo la CMA siyo mahakimu, tatizo la ile ofisi ni Kiongozi Mkuu wa ile Mahakama.
Huyo Mkurugenzi wao siyo mbunifu kabisa. Hajui kuwamotivate wafanyakazi wake. Kazi yake kubwa sasa ni kuwashughulikia wafanyakazi wake.
Anawapigia simu wafanyakazi wenye kesi na kuwaelekeza waandike barua za...
Kuna Christopher Mumanyi lakini huyo mwingine Bogus kabisa anaitwa Peter Mnyani.. Yaani kichwa chake utafikiri kina funza!! Yaani ni empty box!! Huyu alikuwaga mfanyakazi wa Pepsi..... Sasa akawa na kesi pale Cma akapata uzoefu lakini much know but empty
box!!
Na nawashangaa sana hao CMA, hivi hawaoni kwamba kuwaruhusu watu wasiokuwa na taaluma ya sheria kuwakilisha wateja ni ukiukwaji wa sheria. Ni lini watatuondolea hawa wasumbufu? Sheria hawazijui basi ukikutana nao hasa huyo Mnyani ni shida na ma PO yasiyoisha. Sisi mawakili tunapata shida...
Jamani kweli hii Commission inadharauliwa. Kuna watu wanajiita Wawakilishi binafsi ndani ya Tume ambao wanafanya kazi ya kuwakilisha wateja km mawakili. Kuna wengine ni wajinga wasiokuwa na mfano.
Kuna mtu mmoja anajiita Peter Mnyanyi, kwa historia alikuwa anafanya kazi SBC LTD, akaachishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.