Recent content by mussa bakari

  1. mussa bakari

    JamiiForums Tanzania Tuangalie Mapenzi

    Tuangalie nini maana ya mapenzi Mapenzi ni upendo wa dhati utokao moyoni mwa mtu wala si kuvuliwa nguo na mtu . Sijui kama nimeeleweka hapo nina maana gani Ngono si upendo bali upendo wa kweli upo moyoni kwa mtu na siku zote apendaye ni mvumilivu wala hatangulizi ngono mbele humjenga kwanza...
  2. mussa bakari

    JamiiForums Tanzania Sio kila mpenzi wako wa zamani anayeomba mrudiane anamaanisha

    ukimchezea haitoleta maana yy atajiona yupo juu tu
  3. mussa bakari

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba ananitega sana

    siku 1 si mbaya
  4. mussa bakari

    JamiiForums Tanzania Mnawasaidiaje ndugu zenu waliooa lakini kwa bahati mbaya ikawa haifanyi kazi?

    huyo wa bussy aende mlalo-lushoto atapata tiba kwa wazee
  5. mussa bakari

    JamiiForums Tanzania Mume kutunza kwenye simu yake namba ya simu ya mfanyakazi wa ndani

    sion kama kuna tatizo
  6. mussa bakari

    JamiiForums Tanzania Sio kila mpenzi wako wa zamani anayeomba mrudiane anamaanisha

    Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha. Wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo Mbulula, jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo CHEAP na huna Misimamo wala Future. Mtu mmeachana miezi 6, leo anakutesti arudishe majeshi na wewe ulivyo kiazi upo-upo tu, ina maana miezi yote...
  7. mussa bakari

    JamiiForums Tanzania Police wa Barabarani akiwa Kazini.

    siku moja moja kujiburudisha si mbaya
  8. mussa bakari

    JamiiForums Tanzania Umemdondokea nani humu chumbani

    mm bado natafuta
Back
Top Bottom