1. Ni hoja nzuri mno muda wa kustaafu uko kisheria kuna 60/65/70 kutegemeana na aina ya kazi nk
2..Kwangu kwa utumishi mud muafaka ni miaka 65 na kumpa mtu sasa kuwa na muda wa kutosha kuwa na familia na kusimamia taratibu miradi yake kadhaa na kupata muda na wajukuu na wanae ambao kwa muda...
Kati ya vitu chechefu sana ni kusukuma hoja ya report ya CAG hadi Nov sio sawa kabisa MAWAZIRI katika wizara zao huwa hawajibu hiyo report ni Katibu mkuu ama Mkuu wa Taasisi na wasaidizi wake WAZIRI HUPEWA TAARIFA YA MAJIBU BAADA YA CAG KUITWA KUKAGUA MAJIBU WHY SASA ISIKUMWE HADI NOV
Mrongi ndugu yangu kunyonga hakujawahi kuwa suluhu ya matatizo hasa kama haya ya manunuzi na matumizi sahihi ya fedha za umma.....SWALA LA MSINGI NI SISI WOTE WAUZAJI,WANUNUZI,MAOFISA WENYE DHAMANA KATRIKA MNYORORO WAHATUA ZOTE KUMUOGOPA MUNGU,KUFUATA SHERIA ZOTE NA KUTOA NAFASI WAZI BILA...
KUBWA NI AMANI NA UPENDO KWA WATANZZANIA KUPINGANA NA UFISADI,UONEVU NA KUMALIZA KADHIA ZA MAJI NA UMME ONCE AND FOR ALL BADALA YA KUWA NA ZIMA MOTO TATIZO LINAPOTOKEA...
1.Tuwe na vyanzo vya maji vya kudumu
2.Taratibu nzuri na za wazi kwa mikataba mbalimbali ziheshimiwe
3.Swala la mafuta...
Hapa kunatakiwa utashi wa Serikali kusimamia kwa vitendo na kupush agenda ....vijana wa bandari hasa vijana wa clearing and forwarding na makarani wa mizigo na kitengo cha mafuta balaaa utafikiri wana mabenki nyumbani mwao kufuru pale LIQUID KURASINI ETC NA KIGAMBONI...
2,KUNATAKIWA KUWA NA...
Kwa hiyo tuanza na Aden Rage/Bashe NAIBU waziri/Abrahman Kinana hahaha hiyo ni tabia ya mmoja na kutokana na kudhurumiwa na polisi madini yak e na waiofanya wako njema hakudhurika duuuuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.