Nawakumbusha: Mwisho wa Mgao, matengenezo na kukatika kwa umeme ni leo saa 6 kamili usiku na itabaki historia

NAWAKUMBUSHA TU mwisho wa matengenezo,mgao na kukatika kwa umeme Tanzania na itabaki historia ni leo

Tanesco walitangaza siku 10 za mgao na matengenezo yaani kuanzia tarehe 01/02 hadi tarehe 10/02 kwahiyo leo ndo mwisho wa matengenezo na mgao na walituahidi kuwa baada ya leo kukatika kwa umeme na mgao itabaki kuwa historia

Kwahiyo leo tarehe 10/02 saa 5:59 usiku ndo utakua mwisho wa matengenezo,mgao na kukatika kwa umeme Tanzania na itabaki historia tu
Ngoja kwanza wewe,tunamalizia kufungafunga,mbona una haraka hivyo...?
 
Unaikumbuka Hii?

Na hii je?

Waziri wa Mchongo a.k.a Mzee wa mbili mbili
 
Nashukuru sehemu ninayokaa sikuona Umeme ukikatwa / Mgao wowote ule hivyo niwapongeze sana TANESCO kwa Kutuheshimu na Kutuogopa Watu wa huku niishipo na naomba waendelee hivyo hivyo Kutuogopa na Kutuheshimu kwani Sisi wenye Tanzania yetu na wengine ni Wapangaji tu.
Zanzibar ulikuwa siku moja tuu tar 02/02/22 saa 2 Hadi 11 jioni. Hongereni tanesco.
 
NAWAKUMBUSHA TU mwisho wa matengenezo,mgao na kukatika kwa umeme Tanzania na itabaki historia ni leo

Tanesco walitangaza siku 10 za mgao na matengenezo yaani kuanzia tarehe 01/02 hadi tarehe 10/02 kwahiyo leo ndo mwisho wa matengenezo na mgao na walituahidi kuwa baada ya leo kukatika kwa umeme na mgao itabaki kuwa historia

Kwahiyo leo tarehe 10/02 saa 5:59 usiku ndo utakua mwisho wa matengenezo,mgao na kukatika kwa umeme Tanzania na itabaki historia tu
Sawa ngoja tuone kama hawajaja kivingine
 
Hii simu inazima sasa hivi hafu umeme hamna qmmk
F2E16685-6C4C-4AD9-A40D-0C304368F7FC.png
 
NAWAKUMBUSHA TU mwisho wa matengenezo,mgao na kukatika kwa umeme Tanzania na itabaki historia ni leo

Tanesco walitangaza siku 10 za mgao na matengenezo yaani kuanzia tarehe 01/02 hadi tarehe 10/02 kwahiyo leo ndo mwisho wa matengenezo na mgao na walituahidi kuwa baada ya leo kukatika kwa umeme na mgao itabaki kuwa historia

Kwahiyo leo tarehe 10/02 saa 5:59 usiku ndo utakua mwisho wa matengenezo,mgao na kukatika kwa umeme Tanzania na itabaki historia tu
Reserved for future applications
 
Una bahati huja wa tag, unge wa tag tu
Ungetumiwa ule ujumbe wao wa ngeseki

Jina kamili
Eneo ulipo
Shida imeanza lin
NAWAKUMBUSHA TU mwisho wa matengenezo,mgao na kukatika kwa umeme Tanzania na itabaki historia ni leo

Tanesco walitangaza siku 10 za mgao na matengenezo yaani kuanzia tarehe 01/02 hadi tarehe 10/02 kwahiyo leo ndo mwisho wa matengenezo na mgao na walituahidi kuwa baada ya leo kukatika kwa umeme na mgao itabaki kuwa historia

Kwahiyo leo tarehe 10/02 saa 5:59 usiku ndo utakua mwisho wa matengenezo,mgao na kukatika kwa umeme Tanzania na itabaki historia tu
 
Naomea Maharage na timu yake warudishe tuhela twangu nimenunua kagenerator haha
 
NAWAKUMBUSHA TU mwisho wa matengenezo,mgao na kukatika kwa umeme Tanzania na itabaki historia ni leo

Tanesco walitangaza siku 10 za mgao na matengenezo yaani kuanzia tarehe 01/02 hadi tarehe 10/02 kwahiyo leo ndo mwisho wa matengenezo na mgao na walituahidi kuwa baada ya leo kukatika kwa umeme na mgao itabaki kuwa historia

Kwahiyo leo tarehe 10/02 saa 5:59 usiku ndo utakua mwisho wa matengenezo,mgao na kukatika kwa umeme Tanzania na itabaki historia tu
Angalizo

Walisema mkiwasha taa nyingi majumbani umeme utakatika tu, ndiyo maana wao wameweka taa za solar barabarani na kwenye stand zote mpya matokeo yake zinakaa miezi 6 zimekufa zinabakia kuwa vigingi vya kuzuia magari yanayohama njia
 
Back
Top Bottom