Recent content by musisiemu

  1. M

    CCM haina dira, sasa yalamba matapishi yake ya 2010

    Kweli kabisa Chadema waliipigia kelele katiba Maccm yameikumbatia bila AIBU Chadema walisema Elimu bure Maccm na Mkuu wao wameidandia hoja bila haya
  2. M

    Rais Kikwete: Ninamwandalia mrithi wangu njia safi ya Urais

    Mkuu hana lolote nchi hii haiwezi kuwa tajiri labda CCM ife
  3. M

    Wassira yuko sahihi kabisa

    Hana jipya anajifanya ana uchungu na katiba KIKWETE ndio mwenye katiba
  4. M

    Wazee wa Dar es Salaam wawataka ukawa kurudi bungeni

    WAZEE WADAR mbona hamwambii CCM kujadili RASIMU ya JAJI WARIOBA au mmetumwa mseme?
  5. M

    CCM iwachunguze makada wake hawa: Samwel Sitta, William Lukuvi na Stephen Wassira

    Wakulaumiwa ni MKUU WACCM kwani anajua akifanyacho SITTA sio sahihi lakini kakaa kimya
  6. M

    Magufuli adai anawindwa

    Anawindwa na nani au WACHINA wanaodai meli yao?
  7. M

    Ni wakati wa CHADEMA kuwasamehe Zitto na Dr. Kitila Mkumbo

    Wao wakili nakuomba msamaha
  8. M

    GE2015 Ni vigumu sana kupata Rais mwenye sifa bora 2015

    Wasira atawatisha wananchi name wafadhiri
  9. M

    Bunge Maalumu la Katiba laendelea kukusanya maoni!

    CCM inachekesha SITTA hovyo na msaidizi wake CCM mwogopeni MUNGU mnawafanyia DHURUMA MASIKINI WATANZANIA
  10. M

    Nashauri waziri Magufuli ashtakiwe

    RAISI Wa nchi hii anawaogopa wateule wake hana maamuzi magumu hata tyson wasira anampinga kukutana na ukawa
  11. M

    Hali ndani ya CCM ni mbaya, Roho ya Makonda inatafutwa usiku na mchana

    Makonda anajifanya kujua sana back msema hovyo NAPE
  12. M

    Mkuu wa Kaya na mwanae mashallah wamependeza

    Hana had hi hiyo Baba Wa taifa sifa kuu awe na uwezo Wa kuwa tayari kutoa MAAMUZI MAGUMU KWA FAIDA YANCHI Mkuu Wa kaya hana uwezo huo
  13. M

    Rais kijana ni ghali sana hivyo hatufai

    Kweli MKUU siunaona hata mzee alivyokigeugeu
  14. M

    Rasimu ya tume ya Warioba ilikuwa sio mchezo

    Warioba na wajumbe wake in majembe mpaka CCM imeogopa kuijadili Rasimu yao imeamua kuiwekea viraka katiba yao 1977 il I wawadanganye watanzania kuwa ndio katiba mpya HATUTAKUBALI
  15. M

    CCM tuliwaambia, sasa mbona mnaweweseka?

    Dada mopaozi a cha kufikiri kwa kutumia miguu au nawe ni katoto kafisadi maana ccm no majizi
Back
Top Bottom