Wassira yuko sahihi kabisa

Wassira yuko sahihi kabisa

Mkuu thatha mie sina tabu na wewe wala Mzee wa pori, a.k.a Sokwe, a.k.a Wasira!
Hayo ni maoni yenu ya kikatiba na haki yenu kuwa na misimamo.
Mambo yote wacha tukutane kwa wananchi wakati wa kupiga kampeni za kukubari au kukataa hiyo katiba pendekezwa.
Hapo ndo maala maalum pa kumwaga sera mpaka kuwashawishi wananchi kuikubari au kuikataa.
Shida yangu ni kwamba pesa za wavuja jasho zinaliwa bure kwani katiba haiwezi pita kwa wananchi bila kukubalika kwanza kwa UKAWA.
kati ya MACHADEMA(a.k.a wazee wa viroba) wote, kidoogo unaonekana kuwa nazo. Safi kiongozi tukutane huko badala ya kulalama mitaani
 
Ndiyo faraja mnayokwenda nayo ikuku? Naona kumbe mmependa kumshika mkono rais wenu, nendeni

Rais ni taasisi. Ukienda kumuona sio kama una shida na Jk. Ikulu ni zaidi ya uijuavyo wewe
 
Yeye kasema kama nani..maana kikwete kasema kama m kiti wa ccm..yeye wasira kasema kama nani,..?

Si heri CCM, huko CHADEMA mbona kila mtu ni msemaji? mara SLAA, mara LISSU, mara MBOWE na wakati mwingine haya kilaza Tumaini Makene
 
Mbona mnjishitukia mapema subirini JK akapigwe hoja za msingi ndio mtajua UKAWA ni nani.!

CHADEMA muwashukuru sana NCCR na CUF, hivi sasa mngekuwa historia, hongereni kwa kubadili jina na kujiita UKAWA, labda chama kitapona
 
CHADEMA muwashukuru sana NCCR na CUF, hivi sasa mngekuwa historia, hongereni kwa kubadili jina na kujiita UKAWA, labda chama kitapona

Hivi kwa nini hofu yenu ni Chadema na sio NCCR,ACT au CUF.?
 
Kauli ya STEVEN wasira kuwa Rais Jakaya Kikwete kukutana na Vyama vya upinzani wwkiwemo UKAWA hakutabadili msimamo wa Wabhnge wa CCM wa serikali 2 iko sahihi kabisa kwa sababu kuu moja nayo ni:

Wapinzani wameitwa na rais, lakini, hata kama angewaita kama Mwenyekiti wa CCM, bado wabunge wake wana haki ya kutokubaliana naye kwa kile atakachoafikiana na wapinzani. Labda hapa niwaulize swali wale wanaobeza kauli ya Mzee Wasira na hasa UKAWA. Muungano wa UKAWA ni Muungano wa MBATIA, MBOWE na LIPUMBA au ni muungano wa vyama vya NCCR, CHADEMA na CUF? Kama jibu ni muungano wa vyama na siyo watu, basi msimamo wa UKAWA kutorudi bungeni ni msimamo wa wabunge wote wa vyama vinavyounda UKAWA. Vivyo hivyo msimamo wa serikali 2 ni msimamo wa Wabunge wote wa CCM na siyo wa JK.

Kwani wabunge wangapi wa ccm wanataka kuunga mkono UKAWA lakini wanaogopa msimamo wa chama cha Mapinduzi, JK akiongea vizuri watu watanjimwaga tu hata huko bungeni Wassira mwenyewe atashangaa. Wassira hana ubavu kubeba mawazo ya kila mbunge wa ccm kuwa sawa na yeye.
 
Kauli ya STEVEN wasira kuwa Rais Jakaya Kikwete kukutana na Vyama vya upinzani wwkiwemo UKAWA hakutabadili msimamo wa Wabhnge wa CCM wa serikali 2 iko sahihi kabisa kwa sababu kuu moja nayo ni:

Wapinzani wameitwa na rais, lakini, hata kama angewaita kama Mwenyekiti wa CCM, bado wabunge wake wana haki ya kutokubaliana naye kwa kile atakachoafikiana na wapinzani. Labda hapa niwaulize swali wale wanaobeza kauli ya Mzee Wasira na hasa UKAWA. Muungano wa UKAWA ni Muungano wa MBATIA, MBOWE na LIPUMBA au ni muungano wa vyama vya NCCR, CHADEMA na CUF? Kama jibu ni muungano wa vyama na siyo watu, basi msimamo wa UKAWA kutorudi bungeni ni msimamo wa wabunge wote wa vyama vinavyounda UKAWA. Vivyo hivyo msimamo wa serikali 2 ni msimamo wa Wabunge wote wa CCM na siyo wa JK.

yuko sahihi kuondoka kule Gombe reserve na kuja kutusumbua hapa mjini?
ndugu acha utani bwana mnyama ataishije na binadamu hapa mjini?
Hivi we huoni anavyotuharibia mazingira ya utulivu?
 
Si heri CCM, huko CHADEMA mbona kila mtu ni msemaji? mara SLAA, mara LISSU, mara MBOWE na wakati mwingine haya kilaza Tumaini Makene
Vijana wa tanzani tuna tatizo la ufahamu wa mambo madogo madogo, nani kasema mm ni chadema..?! Swali yeye wasira kazungumza kama nani..? Kwa kuwa chadema wanafanya na ccm wakifanya haifanyi kuwa ni sawa..!
 
Kauli ya STEVEN wasira kuwa Rais Jakaya Kikwete kukutana na Vyama vya upinzani wwkiwemo UKAWA hakutabadili msimamo wa Wabhnge wa CCM wa serikali 2 iko sahihi kabisa kwa sababu kuu moja nayo ni:

Wapinzani wameitwa na rais, lakini, hata kama angewaita kama Mwenyekiti wa CCM, bado wabunge wake wana haki ya kutokubaliana naye kwa kile atakachoafikiana na wapinzani. Labda hapa niwaulize swali wale wanaobeza kauli ya Mzee Wasira na hasa UKAWA. Muungano wa UKAWA ni Muungano wa MBATIA, MBOWE na LIPUMBA au ni muungano wa vyama vya NCCR, CHADEMA na CUF? Kama jibu ni muungano wa vyama na siyo watu, basi msimamo wa UKAWA kutorudi bungeni ni msimamo wa wabunge wote wa vyama vinavyounda UKAWA. Vivyo hivyo msimamo wa serikali 2 ni msimamo wa Wabunge wote wa CCM na siyo wa JK.

Kwa hiyo shauri ni kwa namna gani msimamo wa wananchi utawakilishwa? Mtu au kikundi chochote kinachosupport maoni ya wananchi kama yalivyopendekezwa kwenye rasmi ya ya Tume ya Jaji Warioba yuko upande wa wananchi. Hakuna shaka ndo Msimamo wa UKAWA so far so good ndo msimamo wa wananchi.
 
Mijitu mingi mle ndani ya CCM yataka serikali tatu lakini yaogopa kuraruriwa yakipaza sauti halafu njaa zinayasumbua sana na ugonjwa wa sintofahamu.
 
hata yakija mawazo ya kueendelea mjada wa rasinmu ya jaji warioba baasi wabunğe waliohudhuria vikao na kupachika maneno yao na uvunjwaji wa sheria wawajibishwe na wasipe hizo poshooi
 
Hana usahihi wowote ccm wanafuata upepo,akisema leo jk ni tatu kesho wote watashabikia tatu hadi utashangaa.

Yaani haya majamaa ni mbuzi machungoni, kikwete akichange tu wataanza kushangilia serikali 3 sasa hivi.
 
Hana usahihi wowote ccm wanafuata upepo,akisema leo jk ni tatu kesho wote watashabikia tatu hadi utashangaa.
You are absolutely right.

Si unakumbuka kabla ya hotuba ya JK, mwisho wa mwaka 2010?

Aliyekuwa waziri wa sheria na katiba, Celina Kombani na Mwanasheria mkuu wa serikali, Fredrick Werema, walivyokuwa wakisisitiza kuwa nchi hii haihitaji kuwa na katiba mpya, bali tunahitaji kuendelea na katiba hii hii tuliyo nayo, but always, tuendelee kuiwekea viraka?

Lakini mara tu baada ya speech ya JK, wakati huo, tukashtukia hao akina Celina Kombani na mwenzake Fredrick Werema, wakigeuka 'vinyonga' na kusupport uundwaji wa katiba mpya ya nchi!

Viongozi wengi wa magamba, ni bendera hufuata upepo, bosi wao JK, akija na msimamo tofauti, baada ya kikao na ukawa, tutawaona watakavyoonyesha 'utii' kwa bosi wao, kwa kujibadilisha, kama vinyonga!
 
Vile vile tutambue pia kuwa, kauli ya JK, kutaka kukutana na ukawa, haijatolewa kwa utashi wake na wanaccm wenzake, bali imetokana na reality kuwa, ile 2/3 ya idadi ya wabunge kutoka Tanganyika na upande wa Zanzibar, so far bado haipo kule kwenye bunge la katiba kule Dodoma.

Hayo yamethibitishwa na kauli zilizotolewa na makada wakubwa kabisa wa CCM, Mwigulu Nchemba na Mwanasheria mkuu wa serikali, Fredrick Werema.

Kwa hiyo anachotaka kufanya JK hivi sasa ni baada ya kuelezwa reality na 'mashushusu' wake kuwa posibility ya kupatikana 2/3 ya wabunge ili katiba hiyo ipite, ni almost 0.001%!

Kwa hiyo anachozingatia JK kwa sasa, ni ule msemo wa heri nusu shari kuliko shari kamili.

CCM wakisubiri hadi ipigwe kura ya kupatikana 2/3 ya wabunge wa kupitisha katiba hiyo, wamesharealize kuwa ni political gambling, babu kubwa.

In case, haitopatikana hiyo 2/3 ya wabunge wa kupitisha hiyo katiba, itakuwa sawasawa na CCM kama wamechukua kamba na kuitundika darini na kuamua kukinyonga chama chao!

Kwa hiyo alichoamua JK naamini ni uamuzi wa busara sana kwa mustakabali wa nchi yetu, na kwa sasa hivi hapaswi tena kuwasikiliza wahafidhina ndani ya chama chake.
 
wanaenda kunywa juice tu huko ikulu.
 
Back
Top Bottom