Recent content by musima

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukipewa Fursa ya Kumshauri Mh Zitto Kipindi Hiki Utamwambia Nini?

    Zito namshauri aende ccm akakae na walio mtuma kuharibu chadema
  2. M

    JamiiForums Tanzania Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

    Ivi kwanini uislam usifutwe....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yadhihirika: CCM ndicho Chama kinachopendwa zaidi na wasomi

    Jamani nataka kujiunga na ccm...mwigulu ananivutia sana.nilisoma nae mazengo dodoma ...alikuwa kiranja mzuri sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

    Wachaga wanachukiwa na shetani maana wengi wanadini yakweli ambayo ni ukristo..kwahiyo tatizo sio wachaga..tatizo ni ukristo.ndomaana hata makanisa yanalipuliwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Kambi ya Lowassa na Membe sasa si Siri tena

    Kwakweli bora lowasa kuwa rais kuliko membe.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Kikwete kujiongezea muda wa urais hadi 2017

    Aongezewe ili atimize ahadi zake
  7. M

    JamiiForums Tanzania MAT/CHAHITA annual general meeting mwaka huu mbeya.

    Ni chama cha madoktari wenye nia ya kutibu watanzania kwa moyo mkunjufu....japo sereksli imeshindwa kutoa mazingira mazuri ya kazi na vifaa kama vitsnda mashuka na dawa.MAT kunadalili raisi wa mwaka 2030 kutoka chama hiki.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

    Vijana wa usalama wa taifa wamesambazwa kila makanisa kusikiliza mahubiri ya uchochezi...wanalinda serekalihii ya kiislam.
  9. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ washatua Congo - M23 wanapiga kampeni kuwajengea chuki kwa wananchi

    Duu bora waende wapate ujuzi was kuja kupambana na Malawi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

    Ivi cuf ya mchumi ibuu ilishaacha udini?maana ccm haina udini bali viongozi wachache tu.cfu ilikuwa balaa bora ilivyo olewa na ccm
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Majambazi yapora na kuua

    Je tamko halijatolewa na watoaji matamko?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Bado tamko halijatamkwaaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Eeeee...matamko matamko matamko....matekelezo matekelezo matekelezo
  14. M

    JamiiForums Tanzania HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

    Kasemaje huyu mchunga roho za watu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsaka aliyerekodi mkanda wa video sakata la Lema

    Mimi ninacho kiona watu wanahasira miyoyoni mwao kutokana na ugumu wa maisha...so anapotokea mtu atonesha nafsi zao kwa hotuba basi huleta madhara...lema hana shida..shida ni wanao kubali kutoneshwa...
Back
Top Bottom