Dr. Slaa alishasema atahakikisha hii nchi haitawaliki. Unategemea nini?
Tushirikiane na Serikali ipi? serikali yenyewe haina uwezo hadi inaagiza FBI.Dunia nzima inapambana kuutokomeza uhalifu wa namna hii. Tushirikiane na serikali kwa pamoja ili tuutokomeze huu uhalifu.
Tushirikiane na Serikali ipi? serikali yenyewe haina uwezo hadi inaagiza FBI.
Taarifa kutoka Ikulu
Dunia nzima inapambana kuutokomeza uhalifu wa namna hii. Tushirikiane na serikali kwa pamoja ili tuutokomeze huu uhalifu.
Serikali ipi? Hii ya dhaifu?
Serikali ya Kikarara, Old Moshi, Kilimanjaro.
Endelea kuuliza maswali yako yasiyo ya msingi halafu uone siku litakayokulipukia kama kitu/mtu anayeitwa serikali atakuwepo kulipuka na wewe.
Watu wasio na akili wanalipua mabomu U.S.A., Russia na Uingereza ndiyo sembuse Tanzania? Usilete mzaha kwenye mambo yasiyo ya mzaha.
bora hata nyimbo za Mpoto zinaujumbe,,,,,,,,,kuliko hii copy and paste
Sitaki kumung'unya maneno...
Tukio la ARUSHA la mlipuko CHADEMA inahusika moja kwa moja.