Recent content by music mimi

  1. music mimi

    Nani mwenye nyimbo za namna hii kwenye playlist yake?

    Mimi napenda muziki hata usiwe maarufu au hitsong. Watu wengi uwa wanashangaa nyimbo nazosikiliza wanasema ni nzuri sometimes wanakuwa hawajazisikia kabisa. Nakupa list ya baaadhi ya nyimbo za hip-hop ambazo nazisikiliza sana. 1. Mercy Me - Jay Z Blame game - Kanye West Beware - Big Sean...
  2. music mimi

    Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Simu ninayo ila sio muda wote nitakuwa eneo la biashara ndio maana nikataka iwepo camera. Nitacheki iyo DSLR ila ningeomba kufahamu hiyo inakuwaje na unaijua vipi?
  3. music mimi

    Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Mkuu mimi nahitaji simple tu kwa ajili ya kazi za stationery mtaani na kupita kwenye mashule na vyuo na vikundi. Hizi bei zako naona kubwa sana mimi nilikuwa napiga hesabu ya laki tatu hadi nne kwa vote...kuna printer niliwai iona sehemu ni ndogo sana inatoa passport photo pekee alafu ni kama...
  4. music mimi

    Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport. Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3. Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
  5. music mimi

    Kivipi naweza kupata email ya ikulu, serikali, international organisations ili kuwasilisha malalamiko yetu eneo la kazi (whistleblowing)?

    Ninapofanya kazi sio shwari kuna mambo mengi hayapo sawa. Huyu muwekezaji ana nguvu na anajeuri ya kupindisha mambo ya kisheria kuanzia kwa wafanyakazi mpaka mambo ya kimamlaka na ukosefu wa uadilifu. Nataka nifikishe ili jambo kwenye vyombo vya serikalini na watetezi wa haki za wafanyakazi...
  6. music mimi

    Club de Nuit Armaf vs. Club de Nuit Blue Iconic

    Wale wapenda kunukia vizuri. Naomba experience yenu Club de Nuit intense Man VS Club de Nuit Blue Iconic. Hipi ni nzuri zaidi?
Back
Top Bottom