Recent content by Mushobozi

 1. Mushobozi

  Waziri Majaliwa apiga marufuku kilimo cha mkataba asema kinawanyonya wakulima

  Ningekuwa mimi ndo nafanya maamuzi ningeweka mazingira rafiki kwa wakulima na wafanyabiashara ili kusiwepo kunyonyana. Mfano kama mkulima amewekeza nguvu zake na ardhi na mfanya biashara akaleta utaalam wake na vitendea kazi kama tractors kwanini hii joint venture isiwe isikubaliwe. Kama...
 2. Mushobozi

  William Ngeleja arejesha fedha za mgao wa Escrow kiasi cha Tsh Milioni 40.4

  faida ya kutoka Toa msaada. heri uwe bairi hata ikilipuka unakuwa kivyako au unajitetea kivyako.
 3. Mushobozi

  Shule yako mna la kujivunia kutoka kwa watia nia?

  PINDA-MUSOMA HIGH SCHOOL a.k.a Musoma Tech a.k.a Musoma Alliance
 4. Mushobozi

  Kwa yanayotokea Burundi, Kuna haja ya kuwa na EAC?

  umeongea kwa hisia kali sana.
 5. Mushobozi

  Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

  huwezi kuthibitisha kesi bila jamhuri kuwa na ushahidi wa daktari. hata kama state attorney angeona ni lazima dr. angeturn hostile kwa nature ya kesi na inavyoattract public interest lazima state attorney asingekuwa na ujanja
 6. Mushobozi

  TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

  pengo mnafiki na mbinafsi ndio maana iliemekana kwa alizuia hata mtangulizi wake Lugambwa kuzikwa DAR. na wengine kutilia shaa namna alivyopata kardinali na namna ambavyoameendelea kuutunza.
 7. Mushobozi

  Ijue Sheria: Mke asiye wa Ndoa na Mtoto wa nje ya Ndoa hawarithi Kisheria

  mke asiye kwenye ndoa iwapo mwaume akifariki mke huyo anaweza kupata sehemu ya jasho lake kama atapata wakili mzuri na akatengeneza vizuri cause of action.
Top Bottom