Recent content by mushkhan moshi

  1. M

    Mpenzi mpya wa diamond platnumz Dillish mathews anatia aibu kwa uchafu huu aliofanya hadharani

    Kiukwel huyu mwanamke hana maadili ya kitanzania kwa matendo kama hayo ya kifuska anayo yafanya. Yaani wanawake kama hao hatuwatak nchini kwetu maaana wanaongeza kuporomokq kwa maadili kwa vijana wetu[emoji41][emoji41]
  2. M

    Mpenzi mpya wa diamond platnumz Dillish mathews anatia aibu kwa uchafu huu aliofanya hadharani

    Dillish mathews ambaye anaemekana ndie anammiliki msanii wa bongo fleva Diamond platnumz amezua gumzo mtandaoni baaada ya video yake kuvuja akionekana akiwa na rafiki zake wakifanya mambo ya aibu yenye umri wa zaidi miaka 18
  3. M

    Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma leo ameongea na wanahabari ambapo amesema kwa muda sasa wamemtafuta dereva aliye kuwa anamuendesha Tundu Lissu lakini hawajamuona Kamanda amesema wameona mtu ambaye amehojiwa na gazeti la mtanzania akieleza akionesha kuwa yupo Dar es salaam Sent using...
  4. M

    Utapeli mtupu tukio la kukamatwa wezi wa Gari Mombasa.

    Hivi karibuni huko pande za 254 Kenya kulitokea tukiona la aina yake ambalo liltikisa vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii Tukio lenyewe ni watu wawili ambao waliaminika wameiba gari na baadae kukamatwa kimiujiza au uchawi huku wakiwa wapo uchi na wamebebeshwa nyoka wakubwa kila mmoja...
  5. M

    Mbowe: Hali ya Lissu ni mbaya na yupo kwenye chumba cha upasuaji

    Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chademe mheshimiwa freeman mbowe amehojiwa na kituo cha BBC akiwa kenye na kuelezea kuwa hali ya mgonjwa (Tundu Lissu) bado ni tete Sikiliza hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Hussein Bashe: Kwanini Tundu Lissu ameshambuliwa kwa risasi mbele ya nyumba za mawaziri?

    Mbungu wa nzenga mjini ambaye ni miongoni mwa wabunge wanaotikisa sana katika bunge la jamhuri wa muungano wa tanzania katika kutoa hoja madhubuti ndugu Hussein Bashe leo ameomba mwongozo bungeni kuhoji suala la Tundu lissu kuvamiwa Msikilize hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Ni aibu kumkashifu kiongozi wa nchi yako ukiwa umejificha ugenini

    Nimebahatika kuiona video ambayo imesambaa kwa kasi sana mtandaoni ikimuonesha huyo ndugu akitoa mtazamo wake juu ya raisi wa tanzania Huyo jamaa ametumia lugha ambazo kiukweli ni za uchochezi na uongo kwa kusema raisi anafanya vitu kwa ajili ya track ya vyombo vya habari na kiuhalisia hana...
  8. M

    PATORANKING Ft DIAMOND PLATNUMZ -LOVE YOU DIE Scene Aliyo imba Diamond Platnumz

    Miongoni mwa nyimbo ambazo zilikuwa zina subiriwa kwa hamu huku ikipata airtime kubwa ya promo kutoka vituo vikubwa duniani Kama Mtv Base ni wimbo mpya ambao umetoka leo wa patoranking akimshirikisha Superstar kutoka Tanzania Diamond Platnumz Hiyo ni sehemu ya scene ambayo ameimba diamond...
  9. M

    Diamond platnumz hamuwezi kumshusha kwa fitina na chuki..Ripoti kutoka Mtaani Tazama hapa mashabiki wa damu

    Katika jamii yoyote upendo hujengwa kwa kuanza na misingi Licha ya kuwa watu mbali mbali hasaa mitandaoni kuibuka na kuungana kwa kuonesha chuki za wazi juu ya msanii Diamond platnamz .Bado wameshindwa kwa maana Diamond tayari alisha jenga misingi na anapendwa na watu wengi Katika kuthibisha...
  10. M

    Ali Kiba Interview: Azungumzia wimbo wake mpya, kuchelewa kutoa nyimbo na bifu yake na WCB

    Msanii anaye hit kwa sasa na hit song inayo kwenda kwa jina la seduce me Alikiba amezungumza kwa mara ya kwanza na kufunguka mengi Alikiba amesema kila mtu anajua ubaya ambao unafanyika juu yake na ndio maana kwa kutambua hilo mashabiki wake wameweza kumuelewa na kum sapoti Aidha alikiba...
  11. M

    Alikiba :wamekurupuka hawawezi kunishusha kwa fitina mange kimambi shabiki yangu

    Msanii anaye hit kwa sasa na hit song inayo kwenda kwa jina la seduce me Alikiba amezungumza kwa mara ya kwanza na kufunguka mengi Alikiba amesema kila mtu anajua ubaya ambao unafanyika juu yake na ndio maana kwa kutambua hilo mashabiki wake wameweza kumuelewa na kum sapoti Aidha alikiba...
  12. M

    Hatima Diamond Kathibitisha ndoa yake na Zari

    Diamond platunumz amepost katika ukurasa wake wa Instagram huku akionesha ushahidi ambao unathibisha ukweli wa ndoa yao kukaribia Zarithebossylady ambaye ametoka Afrika Kusini yupo nchini Tanzania kwa sasa Baadhi ya watu wamekuwa wakieleza kuwa msanii Diamond ndiye msanii pekee Tanzania ambaye...
  13. M

    Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    Wimbo mpya wa alikiba ambao mashabiki zake tume usubiria kwa hamu kubwa huku ukipewa proma kubwa hatimaye umetoka kama hujausikiliza unaweza kuangalia hapa Unaweza kuangalia alivyo copy na ku paste pia hapa Lengo la hii thread haswa nataka nimshauri alikiba awe ni mtu ambaye...
  14. M

    Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    Toa comment yako Kaua au kapachapia? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom