Recent content by mushijohn

  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Watanzania Kupaza Sauti sasa Ndugai uso kwa uso na Lissu

    Uungwana ni vitendo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joshua Nassari amehitimu masomo yake Shahada ya uzamili, MA International Relations & Democratic Politics.

    Congratulations Mh Joshua.Nashauri uunganishe Phd bado nguvu unazo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

    We pambana na hali yako.Achana kabisa na hao jamaa wameona mbali siku nyingi.Wanapiga kazi kwelikweli hakuna maisha ya ujanjaujanja.vyuma kwao havikazi wanafahamu jinsi ya kuvipanga.Kwa hakika Mh.hana kazi kubwa ya kufanya huko Moshi.kama ni shule wanajua,kama biashara wanajua,usafi wa mazingira...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mdhamini wa waasi wa ADF

    Makamanda wetu tafakuri ni muhimu. Vijana wetu wana weledi ambao unageuka chukizo kwa wenye maslahi yao huko.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Yametimia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe NHC kuna madudu na madili ya kufa mtu! Mchechu atumbuliwe?

    Hiyo ni Sirikali banaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuachiwa Babu Seya na Wanawe nchi nzima yalipuka kwa furaha, Magufuli ajiongezea credit kubwa mitaani.

    Watu wamelipuka kwa ajili ya mziki waliokuwa wameumiss sio jambo jingine.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wapinzani wa Tanzania huwa hawasikii wala hawajifunzi?

    Hivi haya yooote uliyoandika yanamsaidiaje mmtz au yanakufurahisha wewe mwenyewe tu ?
  9. M

    JamiiForums Tanzania PSPF huu ni sawa na utapeli

    Una maana mrisho ndio analipwa pensheni za wwastaafuAu kuna wanaopitia kwake?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Mama Christine Mndeme ndio Mkuu wa Mkoa bora Tanzania

    We unamharibia kazi huyu mama.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tubadili Katiba iwe ya kifalme. Nchi iwe ya chama kimoja, CCM

    Kwa historia ya amani tuliyoachiwa na waasisi wewetkuliko kuendelea na hii hali inayojitokeza ya kupambana kutaka kumwaga damu ni vema vyama pinzani vikatafakari aidha kuachana na uchaguzi visisimamishe wagombea nchi nzima ili nchi ibaki na chama kimoja kwa ajili ya kuepusha maafa.maana hata...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona msiba toka mikoani kusafirishwa kwenda Dar

    Wa mikoani hawafi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Louis Shika Kid alipelekwa Urusi kusomea Udaktari akiwa na miaka 14?

    We nani kakupa kazi ya upelelezi ?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa kwa hili la kumkosoa Kafulila hadharani na kufuta picha zake kwenye mitandao yako ya kijamii, umekosea

    Huu ni uchochezi.mtu na mke wake usiyaingilie.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo anaokwenda nao Rais Magufuli, upinzani unakufa kifo kitakatifu.

    Wapinzani hawahami.wapinzani wa kweli hawahamii chama tawala kwa kuwa wao spirit yao ni kuhakikisha serikali inafanya kazi ipasavyo.Kiongozi mzuri na anayetaka serikali yake iwe na discipline atahakikisha upinzani unaimarika ili uweze kumwonyesha yale ambayo watendaji wa serikali wanayafanya.
Back
Top Bottom