Recent content by Mushihiri

1. M

August 28, 2013: Yanga vs Coastal-Taifa | Rhino vs Azam-Tabora | Simba vs JKT Oljoro - Arusha!

hao oljoro ndo watajuta kumjua mfalme wa pori!
2. M

UTAFITI: Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile

Rose Mhando alishasema mapemaaa... kuwa yaliyotabiriwa sasa yametimia. Yaani tunashindwa hata na wanyama matumizi ya kujamiiana?
3. M

Yanga Vs Azam

Hao yebo ndo kiogozi wao bwana RUPIA anasema wameimprove baada ya kukalia kichapo cha 1-0 kutoka kwa Zamalek. Basi hata leo wameimprove kwa kulala 3-1 kutoka kwa Azam badala ya 3-0 kama mapinduzi kule Zenji. YANGA wanashinda kwa kuongea tu,yaani wanachezea mpira mdomoni na sio uwanjani.
4. M

Udom wakigoma nani alaumiwe

walaumiwe hao ******* wanaobania hilo bum
5. M

Nani ana mashabiki wengi kati ya simba na yanga?

Hiyo sensa ya kuhesabu hao mashabiki uliifanya mwaka gani mkuu au zipo evidence za kutosha kuthibitisha hili?
6. M

Arsenal inaelekea kuzimu

wanajua kuchezea mpira kwenye vyombo vya habari.Wakishinda mechi moja wanaanza kujigamba kuwa ndio wanaianza ligi ila kwa babu wenger mambo ni magumu.
7. M

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Poleni sana mashabiki wa WABEBA MITUTU WA LONDON kwa msiba mkubwa uliowakuta lkn muwe na uck mwema mkiota namna ajali hii ilivyowatokea
8. M

Yanga yavunja rekodi

mkuu utabiri wako n'meukubali;kweli we ni shekh Yahya.Lkn ili yanga wasiendelee kupakatwa itawabidi wakaondoe gundu bungeni hata km hawajashinda
9. M

Simba Duumeeeeh!

nyie ndo wehu kwani km mngetaka kumfurahi demu wenu kwa nini viongozi wenu wawashike TEGETE,KANAVARO na NSAJIGWA kwamba ni wahujumu wa mechi hiyo.Huwa sishangai kwan yanga akipakatwa na mnyama migogoro huwaka huko jangwani
10. M

Yanga yavunja rekodi

Habari zenu bhaaana wanajangwani! Ina majotrooo!MMMBWA nyie aibu imewakumba ndio maana mnaongea km walevi tu;haiwezekani mtani kuliwa daku mzima mzima 2-karai.AIBU kubwa yaan ningekuwa mi ningeshabikia hata LIPULI ya Iringa kuficha hii aibu.
11. M

Yanga yavunja rekodi

YANGA walikalia kipande cha nyama kikazama chote hii ni zaidi ya kupakatwa.Ajabu ni kwamba daktari wao SAM TIMBE amewapima na kuona kuwa mimba ishatungwa tena mapacha 2 na kuwahakikishia mashabiki wake kuwa wasubiri tu kuzaliwa kwa watoto hao.
12. M

Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Mkubwae yanga kakalia kipande cha nyama kikazama chote na daktari wao SAM TIMBE ameipima mimba na kuhakikishia mashabiki wake kuwa mimba hiyo ishaatungwa na wasubirie tu kupata watoto mapacha 2 lkn hakutaja ni lini watoto hao watazaliwa.
13. M

Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

mkuu umeona maneno yako yalivyokugeuka?Nshakueleza kuwa hao wauza madafu wa jangwani ni lazima wakubali kutiwa mimba isiyotarajiwa tena ya mapacha 2. Mtajifunza kunyamaza;hamna adabu tena mbwa nyie!
14. M

Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

YANGA watiwa MIMBA YA MAPACHA 2 isiyotarajiwa.Swali ni kwamba;Wanamfahamu huyo kidume aliyewatia hiyo mimba ili achukuliwe hatua za kisheria?Cha kusikitisha zaidi ni kwamba LUIS SENDEU afariki ghafla baada ya kusikia habari hiyo.
Back
Top Bottom