Yanga Vs Azam

Yanga Vs Azam

Bangi wenzao huwa wanavuta siku moja kabla ss wao wamevuta muda mfupi kabla ya mechi then ukimzingua mtu kama huyu lazima akutwange magumi tu,yanga shame upon you ingekua ni EPL mngekaa nje mwaka mzima mjifunze adabu,TFF fanyeni maamuzi magumu hii haikubaliki katika tasnia ya michezo wenzetu ulaya refa hata akiboronga mwisho wa siku wanapeana mikono then sheria inafuata mkondo wake
 
Pole sana Balantanda ...hawa wachezaji sijui wametumia akili gani..mpira wa mchangani wameuleta huku kwenye ligi. its so sad
 
ile mimaji inayopita nyuma ya uwanja wao wameona yasipite bure bora wapande 'mmea' ili kabla ya mechi wapate stimu kidogo.
 
Hao yebo ndo kiogozi wao bwana RUPIA anasema wameimprove baada ya kukalia kichapo cha 1-0 kutoka kwa Zamalek. Basi hata leo wameimprove kwa kulala 3-1 kutoka kwa Azam badala ya 3-0 kama mapinduzi kule Zenji. YANGA wanashinda kwa kuongea tu,yaani wanachezea mpira mdomoni na sio uwanjani.
 
kubebwa yabebwe kumpiga refa yampige mitimu mingine bwana tabu sana...
 
mi ni yanga damu....lakini ujinga wa kupiga marefa haukubaliki popote duniani.wachezeji kupiga refa ni
kuficha mapungufu ya ndani wapuuzi sana hawa...
mm simba dam nilikuwepo uwanjani lkn yanga walikuwa wanaminxwa.nikikuuliza sabb ya kadi xa niyonzima huwezi kunipa sbb ya msingi coz hakumtukana refa wala hakumshika zaidi ya kumlalamikia.ongea kwa maslah ya soka la tz na sio kishabk ndugu.
 
Ukiminywa ndio umpige refa? Bado hauna hoja hapo
 
[h=6]Yanga 0 ~ 1 Azam
Baada ya Niyonzima kutolewa kwa kadi ya pili ya njano iliyozaa red card Wachezaji wa YANGA wamemvamia Refa na kumtwisha MINGUMI ya kutosha waliompiga refa ni pamoja na Canavaro akisaidiwa na Kijiko, Nurdin na Tegete ambaye alikuwa bench, na baada ya hapo Canavaro naye katolewa kwa kadi Nyekundu, mpaka sasa Yanga wapo pungufu uwanjani wakiwa 9[/h]

wewe nae mnafki.kijiko majeruhi ,hata kwenye benchi hakukaa. Na aliyempiga refa ni mwasika na sio canavaro.
 
Eti kocha hafai ndo maana timu ya taifa inafungwa!kwa tim hzi..afu mwasikiri ni ms**ge kbsa af et ni profesional.
 
mm simba dam nilikuwepo uwanjani lkn yanga walikuwa wanaminxwa.nikikuuliza sabb ya kadi xa niyonzima huwezi kunipa sbb ya msingi coz hakumtukana refa wala hakumshika zaidi ya kumlalamikia.ongea kwa maslah ya soka la tz na sio kishabk ndugu.

ndo maana mpira wetu umedumaa, kumbe mashabik wenyewe ndo wewe!
 
Ukiminywa ndio umpige refa? Bado hauna hoja hapo

we mshakaj yanga sio mara yao ya 1 kupata red.na hata misri hawakupata red lkn hawakufanya hvo.kikubwa ni mazingir ya red plus alivoanza kuchezesha kiupendndeleo.kumbuka zidane alimpiga mtu vichwa,na kila mtu aliona but fifa walipochunguza wakaona mazingira yalimruhs zidane kumdunda yule jamaa.so wakamfutia azab na kumpa uchezaj bora.mi bado nalia na uhalali wa red ya neyonzima ambayo ni chanzo cha tatizo
 
so akukua na njia nyngne ya kulalamika zaid ya kumpga refa?bdo cjui kma inaingia akilini..
 
Hawa wachezaji waliompiga mwamzi wamekosea njia, walitakiwa kwenda kwenye Masumbwi badala ya mpira wa miguu kwani kwenye football hatuna ngumi zaidi ya mchezo wa kirafiki na kindugu (fair play). Kwa mwendo huu bongo tusahau kupata mafanikio ktk mpira wa miguu bila kuwajenga wachezaji wetu kinidhamu.
 
so akukua na njia nyngne ya kulalamika zaid ya kumpga refa?bdo cjui kma inaingia akilini..

kuna mazingira yanayolazimisha kuchukua sheria mkononi.fifa walimfutia azabu ya red card zidane baada ya kuona mazingira ya kitendo chake cha kumpiga materazi na wakampa zawadi ya mchezajbora wa kombe la dunia.nakuuliza ww wezi tunaowadunda mitaani hakuna sehem ya kuwashtaki.? kama hukwenda uwanjani huwezikuelewa situation.
 
Back
Top Bottom