HABARI NAOMBA NISIPINGE NADHARIA YAKO LAKINI NAOMBA YANGU USOME PIA KIDOGO
hali hiyo hutokea na kitabibu wanaita sleep paralysis ambapo kwa kawaida mtu unapo kuwa umelala misuli ya mwili ina acha kufanya kazi ili matendo ambayo unakua unaota kama kukimbizwa misuli isifanye kazi hiyo
hali hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.