Recent content by Musharaf

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mke atoa mimba

    Weee si ni jana tu umetuhonesha kupika pilau, leo ushakuwa mwanume teyali sio!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanamke Anayefanya Usaliti wa Mapenzi kwa Bahati Mbaya

    Malaria haikubaliki
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mtu Sumu: Asiyesikia la Mkuu Huvunjika Guu

    Chai 🍵 ili kutisha watu. Akuna! Tutaendelea kuwabokoa na kugawa dozi kwa idadi kama watalavyokuja
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza juzi Jumamosi, leo kaanza kuniomba pesa

    Piga chini fasta!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

    Huyu jamaa mshamba sana. Aliposhinda tu ubunge akaanza kuwapigia simu wanawake( inaoneakan wale waliokuwa wamempiga chini na sura lake zito) na kuwaambia eti "wewe sasa lazima nikutafune" BURE KABISA
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Sikuomba Ukuu wa Wilaya bali niliombwa

    Hana jipya mkimbizi huyu. Amebaki kubwabwaja tu. Ok, hata kama aliombwa miaka 40 iliyopita, inatusaidia nini saa hizi? Mrudisheni kwao Burundi mchumia tumbo huyu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais anafanya maamuzi tu, ila taarifa za kuamua anapewa na wengine

    Ujinga upi waliouonyesha??
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

    Sasa mama anarudi...... kaheni mkao wa kula nyie msiotimiza vyema wajibu wenu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

    Time will tell......
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kutolewa kwenye mashindano Biashara united ni uzembe wa TFF na Waziri mwenye dhamana

    Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili na namwomba Rais na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Chato haina sifa kuwa Mkoa

    Hakika.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Kagame wa Rwanda

    Baada ya miezi ndio anaona umuhimu wa kutoa pole...unafiki.
Back
Top Bottom