Recent content by musase

  1. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Asikilize clip ya mwenzie mnyeti.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu wa CCM na maigizo Bungeni

    Halafu ukifuatilia kwa makini majibu ya mawaziri wameishawajulia wote wakijibu"haya ni matokeo mazuri ya nh. Rais kutaka ukaguzi wa wazi " kila ukisikia anayejibu lazima aguse hapo kwa namna yake utafikiri wamekaririshwa, na wao wakisikia hilo wanaanza tumsaidie rais wanaishiwa upepo kabisa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona mbunge analalamikia wizi serikalini, Mwananchi wa kawaida analia

    Sisi wananchi tunasikitika sana kuona Wabunge nao wanalalamika kuhusu wizi/ubadhilifu unaotekelezwa makusudi na watendaji wa serikali. Kila mwaka mafuru yaleyale, bunge linalalamika bila kuchukua hatua watu wanaendelea, huku sisi mtaani shule zingine hazina walimu wa kutosha mpaka tunachanga...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Esther Bulaya: Sirro arudishwe aje kupambana na hali yake!

    Ni vema kuwa tunafikiria na hili pia, Unayesema Siro arudi kujibu tuhuma zake na yeye atahoji una uhalali wa kunihoji ? Una uhalali wa kuwemo humo na kunihoji? Hii ndiyo maana hata wanaotekeleza wizi huo wanajua ni akina nani watawahoji na uhalali wao. Hatimaye business as usual.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

    Huyu ni mmojawapo ya wanaostahili kufundishwa katiba kwa miaka mitatu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuitazame ZESCO ya Zambia na TANESCO ya Tanzania kisha tujiulize what went wrong

    Tatizo ni kuaminishwa kwamba sisi ni masikini, na sisi tunapokea hivyo kuanzia kwa wasimamizi hadi kwa mwananchi wa kawaida, kibaya zaidi umasikini huu unaopandikizwa vichwani mwetu unabeba fikra na akili zote za kufikiria kufanya jambo jipya hasa kwa wasimamizi wetu tuliowapa dhamana. Ebu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko: Hamis Kigwangwala aanza kuzungumza lugha ya Wananchi

    Viongozi wengi wa sasa waliyoko mamlakani wote tunawasikia na kuwaona, na hata wale waliokuwa mamlakani tuliwasikia na kuwaona. Ukisikia au ukiona hayuko mamlakani akatoa kauli yoyote ya wananchi kwanza nikutafuta kauli nyingine nyingi za nyuma akiwa mamlakani. Unaanza kutafuta ukweli wa kile...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Iwe Siku ya kumponda Chalamila anayetaka Makanisa yafutwe

    Ni jambo la kushangaza sana, kusema maneno kama hayo kiongozi kama huyo. Lakini tukirudi nyuma wakati anarudishwa katika nafasi hiyo watu wengi wenye hekima na busara walijihoji sana. Ni bora pia akajipima anastahili kusema hivyo na boss wake pia ampime kama anastahili . Ushauri wangu: Viongozi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla amshambulia Freeman Mbowe mbele ya Rais Samia

    Viongozi wengi hushindwa kujitafakari sana, na hasa wenye nafasi za kuteuliwa, wanafika mahala mpaka anafikiri ng'ombe na kuku wote ni wanyama wa porini, na anaweza kusema maneno hayo hata mbele ya bosi wake na mbele ya wananchi. Sasa ukiona hali ya namna hiyo wengi wanahitaji kupumzika wana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi; Nini hatima ya Tanzania na Maamuzi ya Mahakama ya Rufani?

    Inashangaza sana, Kama mkurungezi akisemwa kusimamia uchaguzi anatenda haki , na kwamba watu wanaosema hawatendi haki ni"hisia" tu. Kwa mawazo yangu maamuzi yaliyotolewa na mahakama Afrika mashariki ni sahihi sana. Sisi wananchi huwa tukiona na kusoma Mambo kama haya yanatupa taabu sana na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Think Tank ya taifa letu ndiyo akina Nape?

    Nafikiri hapa ungetumia neno "NAFASI" ndipo lingekuwa zuri kiasi kuliko kutumia we ye akili. Sisi sote tuna akili na hata wengi wetu yawezekana wana uelewa au elimu zaidi ya hao ila kwa sababu hatuko au hawako kwenye nafasi ya kufanya hivyo ndiyo maana unaona Mambo yanaenda hivyo. Ebu fikiria...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hofu: Spika abadili gia angani, Bunge sasa kujadili Ripoti ya CAG kabla Bunge la Bajeti halijaisha

    Lakini tulisikia kwamba ni kwa mujibu wa kanuni zao walizojitungia kuwa watajadili novemba. Sisi huku wananchi tusiyo na kanuni tunaendelea kuisoma, kuchambua na kuelimishana jinsi wapigaji wanavyoendelea kutupiga bila kuchukuliwa hatua.kali. Tunawakaribisha kwenye uwanja huu baada ya kuona hali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Deo Sanga: Mbowe 2025 shiriki na madiwani na wabunge, urais muachie Samia

    Duh Ukiomba mwenzako asisimamishe mgombea ili wako ashinde, Tafsili yake kirahisi sana , tayari umejitangaza mshindwa Kwa hiyo anajenga hoja ya mtu kujiita mshindi kwa huruma ya chadema kutosimamisha mgombea. Kitu ambacho wananchi hatutaki, tunataka haki bini haki siyo huruma ya mwenzako.
Back
Top Bottom