Recent content by musaantony

  1. musaantony

    JamiiForums Tanzania Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    We kwl chadema
  2. musaantony

    JamiiForums Tanzania Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Kwl serikali ijue chakufanya
  3. musaantony

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Chadema muacheni zito jalibuni kumzungumzia hata kwa Yale aliyofanya ndani ya chadema
  4. musaantony

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

    Jamani Tanzania inaelekea wapi Mara ajali tena ugaidi
  5. musaantony

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    Tutashindwa kusafiri jamani madereva ongezeni umakini na kujua potential ya watu walioko kwenye mabasi angalieni wajane wangapi yatima wangapi na vilema ambao watakosa msaada na kuliongeza taifa kwenye umaskini
  6. musaantony

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

    Lowasa n bonge la mtendaji Wa kazi na nchi ikiwa chini yake tutaendelea kirahisi sana
  7. musaantony

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Sura na jina, vina reflect tabia ya mtu

    Ki biilogia hakuna mahusiano ya moja kwa moja ya jina na tabia ya mtu but kulingana labda na tabia ya watu wawili au watutu wenye majina sawa na ndipo hapo watu wanajumuisha kuwa jina na tabia vinaendana but not true unaweza ukaitwa yuda afuu usiwe msaliti
  8. musaantony

    JamiiForums Tanzania ACT-Imepokea wanachama wangapi toka vya vingine vya siasa waliokabidhi kadi?

    Kwa sasa watu wanajaa kusikiliza siasa mpyaa toka kwa zito
  9. musaantony

    JamiiForums Tanzania Hivi ACT-Wazalendo kujaza watu mkutanoni ndio kukubalika?

    Zito n anajua na watanzania wanamkubali thus y wanakuwa wengi kumsikiliza
Back
Top Bottom